Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji23][emoji23][emoji23] Dawa ya deni ni kulipa sio kila wakati kuingilia kenya apa ina deni na hatujawahi shindwa kulipa deni lolote.
 
Umeitoa wapi hyo 75%[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Population kubwa ya wakaazi wa nairobi wanaishi eastlands...

Sasa nionyeshe middle class area yyte dar inaweza igusa eastlando..we unafikiria utakaribishwa kw watu kwn unataka kuolewa...Ukitaka nenda kw wakwe zako utapokelewa vizuri tu.

Tatizo lenu mnapenda ubwete, kenya kila mtu anapambana na hali yake..

Nionyeshe middle class area yyte dar km donholm, umoja, southb, nyayo ni nyingi tu
 
a man from unreasonable city.....a.k.a kenyan zombie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…