Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nilitaka uone hayo maeneo kiundani ili akili yako iliyozoea kukaa kwenye slums huku ukitumia flying toilet ifunguke.
I saw this video long time ago and all I could see are lots of dream houses and a narrow road constructed between them
 
Tanzania iko namba moja duniani kwenye top 5 nchi zinazo produce sana hii kitu


 
So leo kibera has only 250,000 people? Not 2.5 million anymore? [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Wasee wa dream houses mnachekesha kweli
Kibera ina mabanda 250,000 ambayo yana accommodate dwellers 2.5 million.

Umeolewa sasa? Au Hujaelewa bado?
 
Na chakula mpo namba ngapi? Maana sahii mnakula unga uliosagwa toka mahindi mabovu ya kulisha nguruwe!
 
Hahahah umepanic eeeh relax 🎶
Sidhani hata kama unafahamu hiyo ni nini zaidi ya kukurupuka kuleta maua 😂😂😂
 
Mji una slums zaidi ya 15 halafu unaiita ni planned,
Labda planned ya korogocho
 
According to nixcie,this is better place to live
Mtu anawezaje kuishi kwenye haya majengo unfinished!!??yaani ni kama wale mateja wa Jo'burg
 

Attachments

  • IMG_20191111_130321_757.jpg
    42.4 KB · Views: 15
  • IMG_20191111_130259_422.jpg
    23.3 KB · Views: 13
Look at vingunguti,this is right place to live

Lakini hiyo ya unfinished building ni ya mathare
 

Attachments

  • IMG_20191111_131110_014.jpg
    244.2 KB · Views: 15
  • IMG_20191111_130259_422.jpg
    23.3 KB · Views: 16
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…