Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tunaikosea sana dar-es-salaam kuifananisha na hiyo takataka inayoitwa nairobi

Nairobi ni uchafu tu hivi mtu gani anaweza ku-survive katika mazingira ka hayo!
 
Umeshindwa kuenda kupiga umeamua ku download zile zenye zipo mitandaoni[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Endelea ku download picha za slums halafu ulinganishe na daresalam tu[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Ndugai katibiwa na hela mara tano ya hzo...sasa sijaelewa unataka kutuonyesha nn
Billions 7 zinatumika kuziba mashimo kweny uwanja wa ndege??
Hapa ndo viongozi wa Kenya wanapata upenyo wa kujitajirisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…