Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwn huaga ukienda ku lease unapewa bure..nieleze vizuri jomba, halafu pia ku renew ni bure au vp...

With facts, sitaki maneno ya vijiweni
Unaona ulivyo hutumii akili??
Si kuna kitu payment hapo kwenye leasing ??
Na ukishindwa kufanya payment on leasing nn chafuata km sio kupokonywa??
Kumbe akili zako fupi hivi???
 
Leo ndo nimegundua jinsi kenya kuna mbumbumbu wengi sana,eti mtu anayetumia kigezo cha lugha ya kiingereza kama mtu aliyeelimika,unamchukuliaje???..
Madarasa 12 unasoma english language lakini bado tu ni mwendo wa BROKEN ENGLISH kwa kwenda mbele,
 
Kwn kenya ndio haina community land...wacha kujeuza gear hewani...

Mimi naongelea umilikaji wa ardhi yako binafsi, hamna cha mambo ya community land hapa...

Tunaongelea umilikaji wa tittle deed hapa...mambo na community land hta sisi zipo na hta tumeshatithishwa haswa [/QUOTE][/QUOTE]
 
Meaning you are chasing away the lower class in the city kama mnavunja slums na kujenga middle class meaning hamtaki low class Nairobi? Usisahau Dar es salaam ni bandari salama kila mtu akaribishwa na kila mtu atajenga na kuishi kutokana na kipato chake hii ndio Dar es salaam
 
Umeelewa ufafanuzi wa kule juu??
Naona gongo zinakuvuruga buddah.

Asa ww utasemaje mtu ana lease ilhali ht asipolipia ile mali hapokonywi???
Duh pole sana.

Nakusisitiza kuna umilikaji aina mbili Tz wa ardhi ,umilikaji wa ardhi wa kimila na wa hati.
Wa hati mostly inakua kuhusu viwanja vya hifadhi na jumla vilivyopo chini ya serikali yan vyamilikiwa na serikali.
Usiponielewa hapo kajambe mbele maana hadi article nilikuletea ya land act ukashindwa kuelewa.
Kwn huaga ukienda ku lease unapewa bure..nieleze vizuri jomba, halafu pia ku renew ni bure au vp...

With facts, sitaki maneno ya vijiweni
 
Hautoi hela ww ni bure acha ubishi wa kijinga.
Halafu imeekwa hvyo kuhakiki mali yako wewe mmiliki halali maana siku hz kuna migogoro ya ardhi na kuibiana ardhi na wapo wanaouza ardhi kiholela kumbe sio zao.
SIJUI KM ULISHAWAHI KULIFIKIRIA HILI AMA UKO MYOPIC TU???
Kwani we unakiwanja mpaka ufanyiwee hvyo vitu?[emoji23][emoji23][emoji23][/QUOTE][/QUOTE]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mkuu, umenifanya nimecheka sana...yani hyo jamaa ni mwehu sana, m nliachana naye kuona ya kwamba anawaza renting[emoji1787]
Huyo jamaa ni pimbi wa mwisho yani
 
Kwani diamond ni muingereza???!!..dunia nzima inajua diamond ni mswahili,only fools complicate...eti education!!?? English education!!?? Dah Africa tuna safari ndefu sana
Safari ya kutoka LDC lazima iwe tu ndefu 😂
 
Hizo mali za Madawa ya Kulevya za nini mzee? I am a medical personnel by profession, that is my big concern.
Vipi basi huoni hawa wenzako waliopagawa hapa ndani. Can't you see they need urgent medical attention?
 
Has that stopped Nairobi from being $6 billion short of matching Tanganyika's economy? [emoji23] [emoji23] [emoji23]

That do not diverge the fact that this crook was elected my a bunch of matatu drivers and hawkers and Bodabodas plus jobless and Hopeless humans in Nairobi,( of course you and I know their Number is 90% of Nai residents)
No intellectual will elect such ignorant fella.
 
Na matunda yake ni kwamba mko na uswazi aka dream houses kila mahali ndani ya jiji lenu
 
And that doesn't stop the fact that the economy of Nairobi is soon overtaking the economy of muungano wa jamhuri ya Tanzania. Aren't you concerned about this?
 
Tanzanians, continue bringing those kibera photos. We really like to see them 😂 😂 😂

 
Mbna una hisia hvo
 
[/QUOTE][/QUOTE]Kwani hapa tunazungumzia nini??
Unazidi kunifanya nikuone mkumbafu.
Ardhi hapa Tz zina mgawanyiko ktk umiliki.
Kuna ya jumla,ya kimila/kijiji na hifadhi.
Na hzo ardhi umilikaji binafsi ni tofauti ndio maana zimeletwa aina mbili za umilikaji.
Kwan hapa tunazungumzia umilikaji wa nani km sio mwananchi binafsi ???
Punguzeni gongo zitawaua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…