Samahani kaka, nimekosea kuwapatia hadhi ambayo haifai. Waliona ni aibu kuwaleta wageni wa kimataifa kwenye Dar-is-a-slum wakaona kuanza kwa ukurasa mpya pale center inaetwa Dodoma 🤣 🤣 🤣dodoma is a market center
it is an insult to compare it with eldoret
Hii inakaa studio ya KTN 1990. Tushasonga, tushapita hapo. Unasahau the second largest Bureau ya BBC duniani iko Nairobi after London? wasahau HQ ya Startimes Africa iko Nairobi? hii ya Azam haifikii hata vernaculars (tier 2) kama akina Kameme na Inooro leave alone Ebru AfricaHaya hakuna kama Azam Tv Africa mashariki na kati, hahaaaView attachment 1228106
Sasa kati ya mimi na wewe nani anayekodishiwa ardhi yani una hata chembe ya aibu kusema ettt sisi wa tz tunakodishiwa ardhi kweli inabadi nisishindane na mjinga ambaye kichwa chake ni kizito kuelewaWewe itabidi upunguze unywaji wa konyagi, inakupeleka pabaya. Aliyekuambia mkenya haha mamlaka ya kumiliki ardhi ni nani? Ama ilisoma hiyo taarifa wapi? I think this is a case of the pot calling the kettle black. Wewe hapo unakodishiwa ardhi na serikali yenu "tukufu" sisiemu kwa kipindi cha miaka 33, 66 au 99 (kulingana na uwezo wako) wakati mimi ninamiliki ardhi FOR LIFE tena niko hadi na tittle deed. Sasa Kati yangu na wewe nani hana mamlaka ya kumiliki ardhi ndani ya nchi yake?
Tanzania is like that toddler in pampers moving his or her legs for the first time since birth. You can imagine the excitement of that child! Every little thing excites him to the bone! To him, it's like a dream. The older kids will look him and wonder what's really exciting about one moving his legs that excites them that much because to them, there's no great deal in that coz they are used to it. Let's just understand themSamahani kaka, nimekosea kuwapatia hadhi ambayo haifai. Waliona ni aibu kuwaleta wageni wa kimataifa kwenye Dar-is-a-slum wakaona kuanza kwa ukurasa mpya pale center inaetwa Dodoma 🤣 🤣 🤣
Hii inakaa studio ya KTN 1990. Tushasonga, tushapita hapo. Unasahau the second largest Bureau ya BBC duniani iko Nairobi after London? wasahau HQ ya Startimes Africa iko Nairobi? hii ya Azam haifikii hata vernaculars (tier 2) kama akina Kameme na Inooro leave alone Ebru Africa
Nawaambia mnajisifia mamb ambayo sisi tumeona hadi tukachoka
View attachment 1228256
old K24 studios
View attachment 1228257View attachment 1228262
View attachment 1228266View attachment 1228268
Sasa kati ya mimi na wewe nani anayekodishiwa ardhi yani una hata chembe ya aibu kusema ettt sisi wa tz tunakodishiwa ardhi kweli inabadi nisishindane na mjinga ambaye kichwa chake ni kizito kuelewa
shika bonus ya NRG, na ufanye research kabla ya kupayukaHaya hakuna kama Azam Tv Africa mashariki na kati, hahaaaView attachment 1228106
Niletee list ya radio zinazosikilizwa sana hapa Africa 😂😂😂shika bonus ya NRG, na ufanye research kabla ya kupayuka
View attachment 1228283
View attachment 1228279View attachment 1228280
Haya hakuna kama Azam Tv Africa mashariki na kati, hahaaaView attachment 1228106
Sijabadili gear bali nilikuwa nakupa maelekezo ambayo ulikuwa haujui coz kuna mukenya mwenzako alikuwa anashabikia kuwa kinalipia kodi ardhi yangu
Etty hatuna mamlaka ya kumiliki ardhi yani huna hata aibu.sasa kenya ardhi kubwa inamilikiwa na watu wachache ambao wanaitwa wakora na the rest ndo wanamiliki vipande vichache vya ardhi.View attachment 1228228
Acquisition of Land by Foreigners in Tanzania
The land ownership system in Tanzania has gone through different phases. Prior to colonization landholding was based on customary laws of the…www.lexology.com
Now, can you prove to me that Kenyans have no right to land ownership. At least I have proven my point
watoto wadogo hawa wanafurahi kuona baba amenunua baiskeli.Tanzania is like that toddler in pampers moving his or her legs for the first time since birth. You can imagine the excitement of that child! Every little thing excites him to the bone! To him, it's like a dream. The older kids will look him and wonder what's really exciting about one moving his legs that excites them that much because to them, there's no great deal in that coz they are used to it. Let's just understand them
[/QUOTE]Na aliyekuambia sisi hatulipii ardhi kodi ni nani? Land rates apply in Kenya and it's actually a criminal offence not to pay land rates and the fines are very heavy ukipatikana
Naona umebadilisha gear ila bado tunangoja thibitisho kwamba wakenya hawana mamlaka ya kumiliki ardhi. Usifikiri tumesahau
zilete mse. Na pia kuja na salaries na lifestyle za wanaofanya huko tulinganishe. Hapa si LDC. Kila radio ina NICHE customer. NRG probably serve less than 100k listeners but the returns per listeners are much higher. A radio in Tz will need over 1m listeners to earn what they get from 100k listeners. Same goes for Kiss etc. Hata they broadcast all over East Africa hawaezi kubisshana. Sijui nani aliwafunza businessNiletee list ya radio zinazosikilizwa sana hapa Africa 😂😂😂
Na ww kubwa jinga unayesubiria kutolewa pampers na wazazi wako kila sikuwatoto wadogo hawa wanafurahi kuona baba amenunua baiskeli.
Sasa kati ya mimi na wewe nani anayekodishiwa ardhi yani una hata chembe ya aibu kusema ettt sisi wa tz tunakodishiwa ardhi kweli inabadi nisishindane na mjinga ambaye kichwa chake ni kizito kuelewa
Etty hatuna mamlaka ya kumiliki ardhi yani huna hata aibu.sasa kenya ardhi kubwa inamilikiwa na watu wachache ambao wanaitwa wakora na the rest ndo wanamiliki vipande vichache vya ardhi.View attachment 1228228
Acquisition of Land by Foreigners in Tanzania
The land ownership system in Tanzania has gone through different phases. Prior to colonization landholding was based on customary laws of the…www.lexology.com
Now, can you prove to me that Kenyans have no right to land ownership. At least I have proven my point
unajifurahisha sana mzeee wacha nikucheke tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shika bonus ingine. Ulizia Homeboyz, Vybez etc kabla ya kulinganisha vitu za 1990
View attachment 1228295