Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani maskini wa tz anakushangaza adi wew kwamba anaweza miliki nyumba, ila maskini wenu anamiliki mabati [emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama hizo ndio nyumba za masikini Dar then people must be so poor in Dar coz 80% of your city looks exactly like that. And you still wonder why Nairobi is richer!
 
Capable? Hiyo ni illumination ya rangi tu mkenya, hata ukuta wa nyumbani kwako unaweza ukaufanya hivyo ukitaka elimikeni jamani.
It's technology my friend. If it were that easy as you imply, every building would be having it
 
Umesha nunua simu nyingine au bado pesa yako unaitumia kununua bangi...??[emoji23][emoji23][emoji23] Naona wewe mgomo haukuhusu[emoji23][emoji23][emoji23]
IQ yangu hainiruhusu kujadiliana na vichwa maji Kama wewe[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Huyo mwenzenu unayemzungumzia ni yupi? Nixcie? lol, sitawahi kumjibu vizuri huyo mbwa aliyekosa mfugaji. Na ninaheshimu upendo ulionao kwa waafrika wenzako lakini kulinganisha Dar na mombasa unakosea tena sana.
 
Kama hizo ndio nyumba za masikini Dar then people must be so poor in Dar coz 80% of your city looks exactly like that. And you still wonder why Nairobi is richer!
Ahahaha yeah unaongea sana kijna, ulisema jangwani pako hvyo ukapewa picha ya jangwani pamevunjwa hamna kitu, ukasema kijitonyama mim nilikuletea picha mbili za chini na juu kukuonyesha kijito nyama mpya, juzi ulipewa video ya mtoni kijichi mpya ilokarabatiwa vizur na nyumba za maana ukaanza tetema na sasa natafuta picha ya tandale uone tandale inavyobomolewa na kukarabatiwa ujue kuwa dar haipo hvi, so mapicha yako ya 80s baki nayo. Sibishani na wew tena mzee amini unachokiamini sis tunakarabati nyie ongezeni slums
 
Of course zinabomolewa tu kwa akili zenu coz google earth images show a totally different thing .... Dar 80% ni dream houses tu, hakuna jipya. Ama zilianza kubomolewa jana? So google earth inaonyesha picha za 80s? πŸ˜‚ πŸ˜‚ Being a danganyikan in a big disease
 
Who cares abt google earth? Tumekuletea live and clear images and videos. So amini mambo ya kufikirika au reality tulokuonesha hapa bila chenga its up to you
 
Who cares abt google earth? Tumekuletea live and clear images and videos. So amini mambo ya kufikirika au reality tulokuonesha hapa bila chenga its up to you
So google earth sio reality πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Du msaafu πŸƒ
 
Tunaongelea Dar wewe unatuletea mambo ya Mombasa...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hii ni Dodoma...Utaongoza Africa mashariki na kati kwa ukubwaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…