Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tatizo wewe unarudia rudia picha wewe mwenyewe siyo tu kwamba wakenya Wawili wamerudia jengo moja wewe kila siku unapost picha hizohizo
Huyo jamaa kwa marudio ya picha ni number moja😂😂 Alafu picha anazo weka azina hata mvuto...Nikama hana mb za ku download picha mpya..
 
Msenge wewe 😂 😂 Why do you quote me?
 
Umeulizwa swali unatukana em kuwa wakiume wew jielezee ueleweke umelainika kchzi
Maswali za kijinga zinahitaji majibu za kijinga. Ni picha gani haijawahi rudiwa kwenye huu uzi tangu ianze?
 
Kumbuka hiyo garbage has 6000 millionaires while Dar has 1000. Kabishane na vijiji kama Maputo
Na richest man is Tanzanian with 1.3 bill usd,unajua hii 1.3 bill USD wanaingia millionaire wangapi?????..ukiachana na mambo hayo nairobi himself ina slum zaidi ya 15, how can it be a city?
 
wewe huna akili obama aliwasaidia nini kwenye kuoigania nchi yenu.....acha ushamba......
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
I said $100 - 150M. Kuwa na pillar nyingi inamaanisha the bridge is not that high to require longer and higher viaducts that call for more space and more expenses.
hivi wewe ni fundi madaraja tokea lini..?.how many bridge umewahi jenga ..?..na huwa unatumia vipimo gani...?..ni aina zipi za zege huwa zinatumika kulingana na ardhi..? unashindana na uhalisia at the end of the day utakuwa *****.....
samahani lakini
 
Tena hiyo 3 trillion World Bank na development partners wengine wameshazungushiwa bakuli.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji617]we jamaa mkorofi sana yaani ni ukorofi wenye ukweli maana nilicheka sana yaani bajeti yao haiendi bila mkopo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…