Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

povu la malaya aliyekosa kulipwa pesa baada ya kuliwa tuta......
so sorr my jirani[emoji2][emoji2]
 
no new mzee masakuu......unafanya correction [emoji6][emoji6][emoji23][emoji23] ongeza bidii zaidi nitakupa like
 
#TUNATEKELEZA.

nawaza baada ya miaka hii mitano, miradi ya miaka mitano ijayo itakuwa ni mizuri kiasi gani!! maana hii ya kwanza kila kitu (almost) kipo..
•mfano kweny maziwa (water bodies) saiz kila kitu kipo (either completed/under construction) e.g bridges & ferries
• nchi kavu: kuna reli, barabara na vituo vizuri vya mabas
• angani: kuna ndege za kutosha (hapa nadhan tutawekeza kwenye viwanja vya ndege [emoji16])

kiufup, just imagine vitu vikubwa vyote zimetengenezwa awamu hii ya kwanza, je awamu ijayo itakuwaje??
 
I saw that argument above hadi nikashindwa cha kumwambia. It'sike buying houses/apartments in Tanzania is unheard of. His argument was so shallow
 
I saw that argument above hadi nikashindwa cha kumwambia. It'sike buying houses/apartments in Tanzania is unheard of. His argument was so shallow
hebu tupe meaning of shallow...?...bila kusahau utupatie types of shallow, advantage and disadvantage......na how shallow imafanya kazi pia utujuze which hostel house uliyoinunua hapo nairobi.......?..
na how about your life...?...are you real poor old man ama ni stupid ?....are u chokoraa,.?...

i think utakuwa hauna bando lazima utegee free wi-fi...kwa window..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

ila hebu tuwe serious kidogo kwa hili wakenya kwa haya mauchafu chakavu daah kwa kweli is too much si only kibera bali almost places in kenya mna hizi vitu vyakipuuzi huu ni ukinyaa kwa kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wazee wa MLDC

KIAMBIU IN NAIROBI KENYA
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 

Attachments

  • download.jpeg
    26.1 KB · Views: 37
  • download (1).jpeg
    19.8 KB · Views: 31
About Wi-F...yeah I got Wi-Fi in my house and I can reply to your shit anytime, day or night so don't worry about that so much. a Now can you please tell me the location of your dream house from these pictures below?
 
Hii kiambu mbona ni mbaya kuliko kibera....kibera itakuwa inapendelewa
 
Tanzania flyover is dope,hakuna mpango wa kupanga tofali
hizo kaka zimejaa hapa Kenya, bara bara ya Outer-ring iko nazo zaidi ya kumi. The design is determined by the demand. Kwa mfano SGR ni ina flyovers mob ndani ya Tsavo, Nairobi park na inapoingia kwenye Rift Valley. Kama daraja hizo ndogo zinawapatia tabasamu sijui mtafanya nini mkifika Kenya.In fact, matofali yanapunguza garama ya kumaintain usafi na pia ni beauty. I wish hata wangeweka matofali ya clay


Outer-ring road (when it was under construction)



some sections of outer-ring with 8 lanes on flyover




 
ni sehemu gani ya dar ipo hivyo au bahari imekulevya.....mtu wa dar aliyekuwa na kiwanja karibu na fukwe anaweza akanunua nyumba 700 za gharama ya juu kabisa kwa hapo nairobi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji116][emoji116][emoji116]
 
hauoni tofauti zenu zipo kilocal huku zimekaa kiproffesional zaidi[emoji6][emoji6][emoji23][emoji23]
 
12.45m ksh equals to 275m Tzs. That money you build your own mansion in Tanzania with huge space all for yourself.
My point is not what dream house you can build, The quality, furnish, neighborhood and quality of these apartments is unmatched. Again, there are many Kenyans able and willing to purchase these residences.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…