Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Angalia picha ulizoweka humu mwanzo zikiwemo za alamy stock photos au umechange gear hewani?
Hizo alamy stock ndio picha za Google Earth?
Kadanganye wanakibera wenzako?
Naona umeupload zingine za Google Map embu zizoom alafu uziupload tena [emoji23][emoji23][emoji23] Badala umueleweshe mwenzako unaendelea kumpotosha mnaleta uploaded photos za google Search na alamy stock photos alafu mnasema ni Google Earth [emoji23][emoji23][emoji23]
Anaongea mambo ya uploading images to google earth???[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23].. Aibu, Aibuu.!
 
Alafu mbona wana rudia rudia picha hizo hizo kila siku [emoji23][emoji23][emoji23] au wameishiwa.
Ndo alivyo huyu, anapga pcha moja moja tuone kama kuna vijengo, wakat ss tunapga aerial view inaonesha kila kitu
 
Baharia unatoa vichapo heavy sana. Huyu buda hapo alipo atakua anaugulia maumivu, na huwa anachelewaga kupona kinyama
 
Imekuingia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…