Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama hii ni first na ile ya Dodoma je? Akili za wabongo ni tatizo sasa unajenga gold refinery Dodoma hakuna hata mgodi na ni mbali sana na Mbeya au Katavi na Drc congo kwenye migodi hamuoni vyenye akili hamna? Kwa nini refinery ya Dodoma isingejengwa Mbeya ili ihudhmie Drc,Mozambique,Malawi,Zambia na regions za kusini on the other part hiyo ya Geita ihudumie lake zone yote,neiboring regions and country?
 
Hiyo video speaks volumes sio hayo tu uliyoyasema wewe, kwanza hiyo ni tandale ambalo ndio eneo linalochukuliwa kwamba ni hohehahe kupitiliza na lipo holela

Wengi wenu mmekua mkichukua pictures zake na kurevenge za slums za Kenya, huenda huwa mkipost tu pasi na kujua eneo lenyewe ni lipi hasa, sasa ndio mfahamu kwamba eneo mnalopost unplanned settlement kwa Dar ndio hilo kwenye video

Kwenye video hapo unaona kwanza nyumba zake sio za mabati, udongo wala mbao kama kwenye slums za Kenya

Eneo lina access ya umeme wa kutosha kila pembe

Wakazi wa eneo wana kipato mpaka cha kupeleka watoto wao private schools, angalia ma school busses yanavyopishana kwenye video

Eneo lina safe and clean water

Youngsters wa eneo wana missions za kueleweka, cheki vijana wana bodaboda tena sio cheap ones, kwenye slums za Nairobi huwezi kuta vijana wadogo hivyo wapo smart and own such expensive things, never

Eneo lina masoko ya kisasa like malls na bus stands na hospital za kueleweka japo zipo under construction lakini soon zinakamilika

Eneo lina fresh air, surroundings zake zina miti mingi na hewa safi kitu ambacho hutokikuta kwenye slums za Nairobi

Hayo nimeeleza kwa uchache tu
 
These guys have distributed their slums all over the place called dream houses. I like the planning in Nairobi where you have well planned estates and you the few who are disadvantaged settle on some small government reserve areas which by our standards we have the heart to accept they are slums. They live in denial ni slums called Uswazi
 
Bro [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 

Kwani zinajengwa na serikali?

Tangu lini ukawachagulia wawekezaje wapi pa kufanya biashara zao..
 
Punguza ukilaza
 
Wacha emotions pumbavu wewe Manyoni kuna dhahabu ya kumwaga na kama a private company zinaamua ku-invest in Dodoma na Geita, who r u to argue?
 
Stupid monkey migodi tz ipo kote kuzunguka tz Na mingine itagunguliwa kuzunguka tz hivyo hiyo ni dodoma center ya tz. wakenya amtumii akili kupanga mambo pia Dodoma ni capital city of tz
 
Stupid monkey migodi tz ipo kote kuzunguka tz Na mingine itagunguliwa kuzunguka tz hivyo hiyo ni dodoma center ya tz. wakenya amtumii akili kupanga mambo pia Dodoma ni capital city of tz
ivi huyo chokoraa wakikenya ukumuukiza mbona kwao kenya almost 100% ya company zipo nairobi atajibu nini....?...kwanini zisiwe eldoret

[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]
 
Ni investors wamefanya hvyo sio hata government so kama wameamua kujenga hapo wamefanya research zao
 
Kama waliweza kusafirisha michanga kwenda Japani na kwingineko hawatashindwa kupeleka Dodoma, kwanza na usafiri upo wa uhakika sgr.
 
Nairobi mtaisoma namba na ukitaka kushindana na jiji ya dar vunja slums zote zilizopo hapo jiji la nairobi ndo uje kuleta huo uzi


Mnatia aibu badilikeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…