babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,424
- 36,033
Si hizo pia zitakuja kupata seizure nchi zingine sababu ya madeni ya Tz?
Hahaha ,Tzed ni nchi ya "pesa zetu za ndani" yet when you look they have only $4bn as foreign exchange reserves.Linganisha na za Kenya $9bn forex reserves.
Jamaa amechanganyikiwa huyo. Yeye ameweka GDP na anaziita Foreign Reserve.Mkuu hebu weka kirahisi ili hata Sisi maamuma tuelewe
ATCL inaleta ndege nne kabla mwaka huu haujaisha
1 Bombardier Q400
2 Airbus A220
1Boeng Dreamliner
Kenya is a failed state broh, just let them be
No wapi amesema hiyo ni ya SGR? soma vizuri alichokiandika. Mbona mnapigwa chenga na kizungu rahisi hivi?We punga wa kikenya sisi tumelinganisha metre gauge railway stations.
Ndio maana jamaa alileta ya TAZARA ikaonekana inalingana na station yenu ya SGR.
Asa km sisi tuna mgr stations nzuri hiv weka tafakur tukikamilisha SGR stations zake zitakuaje???
Afadhali nife kwa sababu ya njaa badala nikufe sababu nimeuliwa na wananchi wenzangu sababu mimi ni albino ati wafanye uchawi.Hiyo ndio Tanzania nchi ya unyama na kukosa utu.Sasa mbona mnashindwa kulisha wananchi wenu [emoji23][emoji23][emoji23]
What is nikufe?Afadhali nife kwa sababu ya njaa badala nikufe sababu nimeuliwa na wananchi wenzangu sababu mimi ni albino ati wafanye uchawi.Hiyo ndio Tanzania nchi ya unyama na kukosa utu.
Hamfikishi hata $5b Acha umbeaSi hizo pia zitakuja kupata seizure nchi zingine sababu ya madeni ya Tz?
Hahaha ,Tzed ni nchi ya "pesa zetu za ndani" yet when you look they have only $4bn as foreign exchange reserves.Linganisha na za Kenya $9bn forex reserves.
Kwahyo jumla inakua ndege kumi ukijumlisha na sita tulizonazo???ATCL inaleta ndege nne kabla mwaka huu haujaisha
1 Bombardier Q400
2 Airbus A220
1Boeng Dreamliner
Ahaaa mpendwa upo????No wapi amesema hiyo ni ya SGR? soma vizuri alichokiandika. Mbona mnapigwa chenga na kizungu rahisi hivi?
Sasa hvi air tanzania ina ndege 9 ukijumlisha na hzo nne inakua 13 hakuna cha loan au leasing deal hapo👏👏👏Kwahyo jumla inakua ndege kumi ukijumlisha na sita tulizonazo???
Duuuuh eeh bwana eeeh!!!!!!!Sasa hvi air tanzania ina ndege 9 ukijumlisha na hzo nne inakua 13 hakuna cha loan au leasing deal hapo[emoji122][emoji122][emoji122]
Sasa hvi air tanzania ina ndege 9 ukijumlisha na hzo nne inakua 13 hakuna cha loan au leasing deal hapo[emoji122][emoji122][emoji122]
wataelewa tuas of July,2019
just for good correction! hii ndo data kamili (i might be corrected too)
so hapa tunaona order zipo ndege 5, na ndege 3 zitakuja mwaka huu.. October na November
Other news ni kwamba baadae Dash 8-Q300 itakuwa replaced na Q400
View attachment 1202977
vipi kuhusu hili jengoView attachment 1202256
ni kama istabul death empireAisee Nairobi Railways Station imekaa kama kambi ya jeshi !
ni kama istabul death empire