Godwin Gen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2017
- 1,309
- 2,277
Hawa jamaa akili zao wanazijua wenyeweHuyo mwehu atakwambia hapo chini hamna barabara wakati kuna motorways zimekatiza hapo,kuna flyovers kila junction,kuna trains zinakatiza juu na chini ya ardhi. Hizo anazoringia yeye ni estates hapo London ni council estates wanakaa watu wa chini kabisa
Unajiskiliza hata uongealo???Mwenzako alisema nyinyi mnafanya shopping mitandaoni
Buda wewe akili yako ndogo sana, sijacompare Dar na London na kama hujaelewa sina muda wa kupoteza na weweSo you are now comparing Dar is slum with London!!! Kweli Nyie mabwiji
Hawa jamaa na mji wao ni sawa na mtu anaepasi nguo chafu na vilevile hajaogaBora useme wewe, na co london peke ake, majiji makubwa mengi tu ya ulaya hayajapangiliwa kiivo kama makunya wanavojidai, na bado wapo vzur ile mbaya
take a shape wataelewa tu
ila tutawabaka hawa kunguni wakikenya mpaka wajuteWanajifanya vichwa ngumu tu
HaswaaMagu ataua watu humu ndaniπ€£πππ
NonsenseTansanians with their 50$ billion gdp ranting day and night.There are some fringe projects thats don't need ranting....every country is busy with projects. At the end of the year world bank and imf will tell us the truth.
R u trying to compare a $5 mln building to a $3bln HP project? π β
[emoji33][emoji33]
Kuna watu wana SGR eti ya kisasa af naona standard ni sawa na hii ya Tazara...
Unapenda sana kula bata wewe.Ni balaa zito, nililipanda hili November 2017 kula bata selous, ilikua best experience.
Weka ya Kenya halafu onyesha tofauti! Ukiacha tofauti za tarehe 1970 vs 2017 hamna kitu π βHiyo rail station ya Tazara mbovu sana inakaa zile majengo mengi sana ambayo ni mijengo uninspiring style ya Soviet block countries .