Naona unazitafuta na ticho kwenye giza. Hiyo ya mwisho pia ni park?Hizo tumekuletea bustani kwanza kwasababu tukiletea Beach utasema hamna bahari
Bustani Mnazi Mmoja DarView attachment 1184229View attachment 1184230View attachment 1184231
Posta Mpya Dar
View attachment 1184233
Huwezi compare hizo na hizi hapaHizo tumekuletea bustani kwanza kwasababu tukiletea Beach utasema hamna bahari
Bustani Mnazi Mmoja DarView attachment 1184229View attachment 1184230View attachment 1184231
Posta Mpya Dar
View attachment 1184233
Yoooo wthDah sijapata kuskia 👇👇👇👇
Mbona wakenya wengi tu wana Kiingereza kibovu?! Unajua ukiwasoma hawa jamaa humu na kama huijui Kenya unaweza kufikiri ni watu wa maana na Kenya ni bonge la nchi vile kumbe its just another third world country!Malawi wanaongea kinge sana lakini wakija Dar hawataki kurudi kwao,kumbe kinge Ni lugha tu sio fedha
Daaah hahahahahahaha k*m*n*nn*****Dah sijapata kuskia [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
So Kama kuna beaches parks hamufai muwe nazo? Halafu how do you expect Nairobi iwe na beach? Ukitaka ushindani Kama huo, enda uzi wa Mombasa. Huko kuna beaches kibaoHuku bongo kuna public beaches zaidi ya 10...what the parks for???