Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Still in Ngara....Park road affordable housing na hakuna madebe mob
 
Nairobi pekee iko na kariakoo zaidi ya mia moja na hayo majengo yamejengwa na wakenya wazawa bila usaidizi wa wazungu jinga hii
Achana na hawa watoto wa sisiemu. On one hand Wanasema nyumba zilijengwa na wazungu. On the other hand Wanasema hizo nyumba ni mbovu na hawawezi ishi. Hawa watu hawajielewi. Wacha waendelee kujaza Dar ni dream houses zao. At least we now know what these dream houses are
 
Wanatetea hizo slums zao sababu wote wanaishi huko[emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…