Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yaani wewe kama nisemavyo kila siku, ni boga tena boga la Halloween ambalo wametoa vitu vyote, liko empty. Unavyopost hizo google map screenshots wakati chini ndio panaonekana hivi sijui unataka kumfool nani? I bet unaishi hapa
 
How many slums in nairobi???...

Sikujua kama kuna slum nyingine inaitwa Mathare😃😃😃😃
 
Aiseee kwenye hilo ghorofa mi siwezi kuishi yaani limekaa kifo kifo anytime linaanguka...

Hivi ni umasikini au nini??..kwa nini wakenya hawafanyi finishing majengo yao
 
Aiseee kwenye hilo ghorofa mi siwezi kuishi yaani limekaa kifo kifo anytime linaanguka...

Hivi ni umasikini au nini??..kwa nini wakenya hawafanyi finishing majengo yao
Na magorofa mengi ya kenya yako hvo😆😆 yani hawa jamaa utu ni jambo la mwisho sana kwao
 
Aiseee kwenye hilo ghorofa mi siwezi kuishi yaani limekaa kifo kifo anytime linaanguka...

Hivi ni umasikini au nini??..kwa nini wakenya hawafanyi finishing majengo yao
Swala moja unatakiwa kujua ni kwanza wakenya hawana uwezo wa kujenga nyumba hususani gorofa, so hayo magofu wanayoishi ni projects za wazungu zilizotelekezwa baada ya kuona baadhi ya majirani zao ni wakenya swala ambalo mzungu anaejipenda hakubali kabisa kuishi sehemu ambayo nyumba ya jirani ni kibanda cha mkenya
 
Hivi ndivyo Nairobi hufanana nje ya kibera
 
Nairobi pekee iko na kariakoo zaidi ya mia moja na hayo majengo yamejengwa na wakenya wazawa bila usaidizi wa wazungu jinga hii
 
Nairobi na Dar slum ni kama baba na mtoto....hapa ni mitaani Nairobi
 
Ngara ni zaidi ya kariakoo lakini hutaona Mkenya akipost picha hapa sababu tumezoea kuona majengo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…