Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Pesa ya kuwalipa pia hamunaπŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Kila siku huwa nasema kwamba wewe muda mwingi huwa hujui unachosema. Anyway, nadhani ni kizungu huwa inakulemea. It's clearly written they "SKIP DUTY." the key word there is skip. In other words, they fail to report to work a few days in a week which is against the contracts they signed. Ni wapi imeandikwa hakuna pesa ya kuwalipa. You need to attend English classes asap
 
hii official source yako ni shirika gani?

Huoni hapo juu hio blogπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† hakuna ujanja karne hii ile janja ya zamani imeisha tena ya kudanganya wazungu kua olduvai iko kenya🀣🀣🀣
 
Inasikitisha kuona MLDC ya aina yake duniani ikiwa 60% wanatoroka makazini na niwauguzi watiba mbali mbali je usalama wa afya upo kweli???πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† na hii inaonesha wanatoroka bcz of no moneyπŸ˜…πŸ˜…
 
So ww kwa akili yako yakuzaliwa unaona kwann wana skip you think why???🀣🀣
 
So ww kwa akili yako yakuzaliwa unaona kwann wana skip you think why???🀣🀣
"You think why?" πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Na hii kizungu yako, am not surprised you didn't understand what was written there. Your English comprehension is wanting! I give up on you
 
"You think why?" πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Na hii kizungu yako, am not surprised you didn't understand what was written there. Your English comprehension is wanting! I give up on you
Ahahaha naona unatafuta pakutokea nieleze ww unaona kwann wana skip ikiwa kweli wanalipwa pesa zao vzrπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Why not air Tanzania?
 
"You think why?" πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Na hii kizungu yako, am not surprised you didn't understand what was written there. Your English comprehension is wanting! I give up on you
Sasa kakosea wapi??..kumbe we mwenyewe umekariri lugha ya malkia.. jibu hoja jamaa yuko sahihi 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…