Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

2115km of roads are undercobstruction in Tz costing more than usd 2.5billion
 

Leo naona umekuja kivingine ulichokifanya leo kuingia google earth na kupost zile estate za umoja unazotuonesha sisi kila sikuπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† yani ukituaminisha sisi kua hamuna slum au????

Lakini chakutia faraja zaidi google earth hua haidanganyiπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116]umeumia....haya na wewe lete makaazi ya middle class dar tunayasubiria..

Usilie lkn...si makosa yake..ni hali ilivyo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116]umeumia....haya na wewe lete makaazi ya middle class dar tunayasubiria..

Usilie lkn...si makosa yake..ni hali ilivyo

Hvi unaeza kua middle income alaf ume rent nyumba alaf unajiita middle incomeπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
State plans yani ndicho nilikua nasubiriaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† sasa niletee official source inayosema kenya inajenga 10000km ukiniletea mm nafunga account jamii forum

Pesa ya kulipa fidia ya watu muliowavunjia nyumba kwa ajili ya sgr hamuna πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Siku hzi hawaongelei tena mambo ya ndege na leo ndio wamenyamaza kabisa baada ya mwiba kufunguliwa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] wakikasirika utaskia wanakwambia LDC[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…