Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sawa leta picha basi atleast tuone munajenga sio maneno tafadhali picha plz sio maneno tuone ujenzi unaendelea au maneno tu😀😀😀😀😀😀😀
 
hehee...huyu ni zumbukuku wa dar nawe.hajui maana ya proposed.tumuelewe tu
 
ichooboy...leo ushaenda kununua maziwa ya brookside apo nakumatt dar
 
since 2014 mm nimeanza kuiona hii picha swali langu kama ujenzi unaendelea nione basi atleast picha ya foundation ikijengwa basi, wakenya kwann tunatakua wagumu kuelewa rudini hapa mtuoneshe

so hii picha ni ya 2014? we ndo uliipiga hii picha? lakini uko na ujinga sana wewe. I know wabongo ni wapuzi lakini hii yako kwani ni rekodi unataka kubreak na sisi leo.
 
Picha halisi mnamo mwaka 2014 sept.see now your misery
site for Hass tower

__________________
 
so huyo jamaa yako ndiye mwenye hii project and whatever he says is final and true. And then you cry when we say stupidity is Tanzanian privilege.
 
Tree felling started february 2015 and land clearing

__________________
 
so hii picha ni ya 2014? we ndo uliipiga hii picha? lakini uko na ujinga sana wewe. I know wabongo ni wapuzi lakini hii yako kwani ni rekodi unataka kubreak na sisi leo.
😀😀😀😀😀...he is on a desperate mission to prove he is an idiot...ameshinda na medal
 
Majamaa wanatoa pesa KCB bank ama EQUITY dar,wanaweka pesa kwa MPESA...wanaweka bet kwa SPORTPESA....Wanaenda UCHUMI ama Nakumatt kununua Brookside ... . wanawatch CITIZEN news jioni
 
26th may 2015
still clearing with little excavation
__________________
 
Majamaa wanatoa pesa KCB bank ama EQUITY dar,wanaweka pesa kwa MPESA...wanaweka bet kwa SPORTPESA....Wanaenda UCHUMI ama Nakumatt kununua Brookside ... . wanawatch CITIZEN news jioni
alafu akiingia jf anakuja direct kenya section....then aende vijiweni akaambie wenzaka aah kenya itatuona this tym round...tz ya 2017 ni moto wa kuoea mbali.
 
See the massive rocks that are being fished from the site

__________________
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…