Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa mradi hta haujakamilika...unataka usifie na kitu amabacho huna kw sasa
..
 
The forth wapi wakat mpaka upper hill na CBD zinaonekanaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Umepost picha ya kilimani inside the pic CBD na upper hill ziko ndaniπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† yani hapo tu ndio hua munanifurahisha sana
 
Dar ni posta pekee, hizo zingine ni takataka.
Nioneshe upanga nioneshe kijitonyama nioneshe ilala nioneshe masaki nioneshe mikocheni nioneshe ubungo nioneshe mbezi etc hebu nioneshe zikwapi hapo[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Leta google earth kama hii ikionesha slum in darπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡otherwise endelea kuokota picha za google
View attachment 1163730
Kawaida yenu Midanganyika hamkubali vitu zilizo wazi. Unasema naokota picha kwa internet wakati moja ya hizo picha inaonyesga hadi hiyo brt yenu vizuri sana. Mnatia huruma sana.
 
Endelea kuokota picha za google chukua na za nigeria na congo useme darπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Dar hakuna udongo mwekundu neverπŸ˜…πŸ˜…
Ni kweli kabisa. Mbona sisi wakenya tuko na uchokozi hivi? Mbona tunapenda kuleta picha zisizo za Dar Na kusisitiza ni za Dar? Kwa maana hata hizi picha hapo chini sio za Dar bali ni za Nairobi, mji wa slums. Hiyo BRT Haipo Dar kabisa, Brt ya Dar haikai mbavu hiyo. Hiyo haiwezi kuwa Dar kwa sababu hata baba wa Taifa Nyerere alikataa! Magufuli pia amekataa, mbona sisi tukubali. Haiwezekani. Wakenya waendelee kuokota picha mitandaoni
πŸ˜‚ 🀣 πŸ˜‚ 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…