Hata kama ingekuwepo nisingeileta kwasababu najua jeshi la wakenya litapoteza nguvu kazi na mimi nitakosa punching bag.
Check this out, the views are awfully disgusting
View attachment 1163744View attachment 1163745View attachment 1163746View attachment 1163747View attachment 1163748
Always in denial...dar mega city hoyeeeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji123]mmeshajitengenezea sifa ya kukimbia tayari, mi nipo muda wote wala usiwe na shaka na vikaragosi kama wewe kwangu ni kama kelele za chura tu.
Lkn usijali..ukikua utaacha...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Endelea kuokota picha za google chukua na za nigeria na congo useme dar[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Dar hakuna udongo mwekundu never[emoji28][emoji28]
MDC wanafanyiwa na wachinaLDC kamili, kila kitu wanafanyiwa na wazungu.
Siku tukifunga viwanda vya nguo wa Kenya wata tembea uchi..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1163921View attachment 1163922
😂😂😂 TindiganiiBila avic Westland haina tofauti na kijenge juu
Lakini sijawah kuskia google earth kisema hvo so ww na google earth nani mkweli?😆😆👇👇Dar es Salaam iko na slums tena nyingi sana .
Asilimia ya 70% makaazi ya Dar es Salaam ni makazi duni ya mitaa ya vibanda
Picha zote hizo ni za NairobiAlways in denial...dar mega city hoyeeeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji123]View attachment 1163870View attachment 1163871View attachment 1163872View attachment 1163874View attachment 1163875View attachment 1163876View attachment 1163877View attachment 1163878]View attachment 1163881View attachment 1163882
uyu ni mgeni umu ama amebadili jina ila wenzake walishakimbiammeshajitengenezea sifa ya kukimbia tayari, mi nipo muda wote wala usiwe na shaka na vikaragosi kama wewe kwangu ni kama kelele za chura tu.
Mshua akila adventure matata kwenye TAZARA, kama mbelee