chukua kitambaa ujipanguze machozi. najua yakuumaNaomba wa Kenya msiweke ule mnara tena humu manara mrefu kuliko jengo Kama mlitaka kujenga mnara wa babeli mngesema
Chill out, utaiona tu, first iangalie kwa renders ama youtube, iko na ndio currently inajengwa, ulisema ni lightning arrestor ama communication tower sio?Not on a constructions details, I want to see that wind turbine physically. Can you upload a photo of that building which shows the wind turbine on the tower physically?
akili zao hawa hua bado wakifkiri ni ile tanzania walioizoea kumbe mazoea yanatabuπππwaambie hao....we keep it up washamba....
You understand that the building is still work in progress i believe....Not on a constructions details, I want to see that wind turbine physically. Can you upload a photo of that building which shows the wind turbine on the tower physically?
Hass Tower kuchimba ilianza last year after approval wewe nimekuambia shida yako nikujifanya pumbavu, hio Jeddah tower ya Saudi Arabia mpango ulianza 2007. Hata hass wakichimba miaka kumi shida yako ni ipi hapo? How does it even concern you?site preparation na foundation kuchimba imeanza 2014 so wanachimba 3 and ahalf years serious???ππππππππ
ojey mimi kwa sasa siko kenya ila nakwambia hio project imesimama muda mrefu sana na utaamini maneno yangu
chukua kitambaa ujipanguze machozi. najua yakuuma
wewe funga mdomo wako hass wameanza kuchimba toka 2014 na nilianza kusziona same pics munazoonesha leo ndio maana nakuuliza 3 and ahalf years munachimba foundation tuππππππππππππHass Tower kuchimba ilianza last year after approval wewe nimekuambia shida yako nikujifanya pumbavu, hio Jeddah tower ya Saudi Arabia mpango ulianza 2007. Hata hass wakichimba miaka kumi shida yako ni ipi hapo? How does it even concern you?
leta evidence sipendi wanauume wakuropokwa mimi.wewe funga mdomo wako hass wameanza kuchimba toka 2014 na nilianza kusziona same pics munazoonesha leo ndio maana nakuuliza 3 and ahalf years munachimba foundation tuππππππππππππ
2014 hioleta evidence sipendi wanauume wakuropokwa mimi.
wanabaa la njaa alafu unga 1kg 200 ksh watakufa hawa ndio maana project zao zimanza kusimama moja baada ya mojaππππππππππππUnga sasa ni 200Ksh/1kg!!
hahaha
Nyang'au uwezo mdogo wakufikiri ndio tatizo,huo ni mnara tu ilo jengo haliingii kwa TPAView attachment 507700
Kweli nitoe machozi kwa mnara wa Babel ,embu ona utofuati apo
the thread was started na site preparation started na kuchimba foundation ilanza same period 2014 na mimi nilikua nafatilia sana skyscrapercity za nchi za africa ,ndio maana nakuuliza 3 and ahalf years munachimba foundationπππππππThat's when the thread was started kumbe ni kizungu hujui kusoma, anyway kalisha haga dar ungoje matokeo.
naoana ulihamia Nairobi, karibu sana.the thread was started na site preparation started na kuchimba foundation ilanza same period 2014 na mimi nilikua nafatilia sana skyscrapercity za nchi za africa ,ndio maana nakuuliza 3 and ahalf years munachimba foundationπππππππ
kubali usikubali am telling u huo mradi umesmama muda mrefu sana
mm mfatiliaji mzuri wa nchi zote africa sio tu dar au nairobi pia luanda,rabat na nchi zingine zinazoendelea kwa kasi so ondoa hofu juu ya hilo ila nakwambia huo ujenzi wa hass umesmama siku nyingi sanaπππππAfrica's first Super Tall.
naoana ulihamia Nairobi, karibu sana.
Bunge lakenya limeshtuka eti wamepitisha mafedha rukuki kununa Mahindiwanabaa la njaa alafu unga 1kg 200 ksh watakufa hawa ndio maana project zao zimanza kusimama moja baada ya mojaππππππππππππ
siwameua viwanda vya sukari vyote mumias na kadhalika sijui nzoia, wananua sukari kutoka ugandaBunge lakenya limeshtuka eti wamepitisha mafedha rukuki kununa Mahindi
hahaha kipindi hiki cha uchaguzi najua Mafisadi wataziponda
na wakenya kupumulia Makalioni!!!
Bei ya Sukari Kenya ni Mara 2 ya bongo
unajiaibisha sana...hivi unajua kina cha excavation ya hass?kama hujawai fika nairobi nyamaza.since excavation started there is no single day without activity at that site.kilo za mawe zinatolewa apo sio mchanga tena.kua mpolemm mfatiliaji mzuri wa nchi zote africa sio tu dar au nairobi pia luanda,rabat na nchi zingine zinazoendelea kwa kasi so ondoa hofu juu ya hilo ila nakwambia huo ujenzi wa hass umesmama siku nyingi sanaπππππ