Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Safi sana... Nashangaa kwa nini Mwenzako ichoboy alisema nimehamia picha za miti. Ni Kama hajui kwamba miji zinavutia duniani zote ziko na lots of green spaces and recreational parks. A good city is not just about tall glass buildings
Kwenye miji ya pwani recreation iko baharini na kwenye beaches kama natural resources.
 
Kingereza kumbe kigumu...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tukisema nchi inanuka madeni ambayo hayana manufaa kwa wakenya wanakua wakali[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

 
Kwenye miji ya pwani recreation iko baharini na kwenye beaches kama natural resources.
New York is a coastal city but it has lots of green spaces and recreational parks. When I talk of recreational parks in green spaces I mean the likes of Uhuru Park, Central Park, City Park, Jevanjee Gardens, 7th Memorial Park, Uhuru Gardens and many others. Name for me any recreational park in Dar
 
Dar kuna sehemu kama Mnazi mmoja garden, Dar botanic garden, gymkhana grounds na beaches.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ