2weeks county nzima unasema failure kweli ????? Seriously acheni ujinga
Wazee wa thika haha
Wazee wa thika haha
I stopped replying to him. Hana uelewa wa mambo. His views are driven by ignorance, hate and lack of exposure. Kama hujui masuala ya Kenya hero any anyamaze tu. Nilicheka sana nilipoona anasema Gede ni county!Ni mn power outage...halafu eti county nzima...gede ndo county nzima[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]...are you good upstairs....
County nzima for 2 weeks ni nchi ya aina gani hii😆😆😆😆😆Ni mn power outage...halafu eti county nzima...gede ndo county nzima[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]...are you good upstairs....
Ahahaha uniambie ww unaejifanya unaelewa county nzima inakosa umeme for 2 weeks alaf unasema kuna serekali serious😆😆😆I stopped replying to him. Hana uelewa wa mambo. His views are driven by ignorance, hate and lack of exposure. Kama hujui masuala ya Kenya hero any anyamaze tu. Nilicheka sana nilipoona anasema Gede ni county!
Elewa sentesi yangu nimesema 85% ya picha zote ulizoweka ni thika 😆😆😆😆Hapo kuna Thika Road, Langa'ta Road, Outering Road, Na Southern Bypass. Kwa barabara hamtugusi hata robo na hali hata wewe unajua japo hutakubali
😆😆😆😆👇👇👇👇👇Ujinga katika ubora wake[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ahahaha uniambie ww unaejifanya unaelewa county nzima inakosa umeme for 2 weeks alaf unasema kuna serekali serious😆😆😆
Unaeza kujiona unaakili kumbe ni juha 😆😆Wewe ujinga wako wa bila kipimo tumeizoea hapa ndani.
can you name for me all the 47 counties in Kenya kisha uniambie Gede ni county ya ngapi kwenye hiyo listAhahaha uniambie ww unaejifanya unaelewa county nzima inakosa umeme for 2 weeks alaf unasema kuna serekali serious😆😆😆
So hao hawafai kupata umeme sindio hawana haki ya kua na umeme for 2 weeks acheni ukabila ndio maana maendeleo mengi mumetaweka nairobi pekeecan you name for me all the 47 counties in Kenya kisha uniambie Gede ni county ya ngapi kwenye hiyo list
Hizi picha zisha pandishwa humu kitambo [emoji23][emoji23][emoji23]The "dancing[emoji126]" Tower. Gotta love Nairobi
View attachment 1146086View attachment 1146087View attachment 1146089View attachment 1146091View attachment 1146092View attachment 1146099
Na Bado zitapandishwa. Maumivu yakizidi muone dakitariHizi picha zisha pandishwa humu kitambo [emoji23][emoji23][emoji23]
Eti maumivu kisa picha za kujirudia rudia na zinazopigwa engo moja na filter za kutosha[emoji23][emoji23][emoji23]
Niletee picha moja ya Dar haijawahi letwa hapa ndani