Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Britam ukijumlisha na mnara wa 60m πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Maskini....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Avic kumbe inakuumiza hv
Na hapo muwashkuru wachina lakini pamoja na hzo bado over 30 tunawaakalisha na kuwanyea kichwaniπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Yani mmeenda mpka india mna edit picha za miji yao...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tulizana na december zinaingia another 2 brand new aircraftπŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰
 
Tweet za ccm tumeshazizoea...mwaka unaisha sai[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata zile 8 mpya zilizokuja pia mlizoea hvo πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†kumbe munaishi kwa mazoea basi miaka hii mutapata tabu sana
 
Bwahahaaa...hta za bagamoyo pia tulizizoe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata zile 8 mpya zilizokuja pia mlizoea hvo [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]kumbe munaishi kwa mazoea basi miaka hii mutapata tabu sana
 
Bado haijafikia Hii hapa...that's my point dimwit
Hata jaribu useme TPA ni 45 floors ila Hii hapa chini ni 47floors ikikamilika. Nitag mkiwa na 45floor BUILDING.
 
Hazijapigwa na chini km bagamoyo na kigamboni city lkn
 
Na hapo muwashkuru wachina lakini pamoja na hzo bado over 30 tunawaakalisha na kuwanyea kichwaniπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Westlands tayari iko na 4 buildings over 30 floors na bado hatujaingia Old CBD na Upperhill District. Chezeni na Kampala babaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…