Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyo boya usiyatilie maanani anayoyasema tahmeed ni kampuni ya mkenya haijawahi kuwa ya mtanzania Kwanza ameijua ikianza kuchapa route za Mombasa-tanga -Dar na Nairobi Arusha Dar.
Nairobi dar route kuna kidume anaitwa dar lux ulizia habari zake upate data
 
Umeshaziona zinazotoka Tanga kwenda Dar? Tanga kwenda Arusha? Dar kwenda Arusha? Dar kwenda Nairobi? And viceversa?
Dar lux ,Dar express na SAI Baba, zinafanya safari hadi Kenya na leo hii hatuwezi tukasema Kwa sababu zinafanya usafiri Kenya sasa ni za mkenya. Tahmeed ni company ya mkenya.
 
Huyo boya usiyatilie maanani anayoyasema tahmeed ni kampuni ya mkenya haijawahi kuwa ya mtanzania Kwanza ameijua ikianza kuchapa route za Mombasa-tanga -Dar na Nairobi Arusha Dar.
We tulia hvo hvo....tahmeed ilinzisha safari za mombasa nairobi before hta za daresalam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…