[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]santa sana....mtu kuwa maoni tofauti na yako kawa ngurue....sina haja ya kubishana na wewe leo kwa hiyo tafadhali kaa nje ya maongezi yangu na huyu nguruwe
Hiyo inaitwa kukosa cha kuongea. Tafsiri yako ya gauni inanifurahisha kwa sababu hata wanaovaa majoho na kanzu pia hayo ni magauni. Mimi sina mipasho maana sio tamaduni niliyokulia na kama unadhani kuwa ukinitukana sijui mimi ni gay or shit like that, ndio utaniharibia siku? jibwa koko tu wewe. Mi nimeishi kwenye nchi ambayo kutukana ni jambo la kawaida sasa hizi petty insults ni upuuzi kwangu. Tell you what, spare your time and go do something meaningful.unaweza ukawa humu hata miaka ishirini na usiwe na wazo lolote la msingi,heading tu yenyewe ni battle au hata uelewi unachangia nini?
halafu pia umekaa kimipasho mipasho kama machoko wa kino mwanaume anaanzaje kuwashwa sasa,doh kweli bado itafika stage mtavalishana magauni na madera humu sijawahi ona wanaume wa dizaini hii mnatia aibu tunalalamika kila siku mashoga wanaongezeka kumbe viwanda vyenyewe vipo humu
niombe radhi sijawahi vutiwa na mipasho nawashangaa humu nimeandika tu kuwaasa mbadilike maana mnakoelekea siko
Huyu jamaa kadandia treni kwa mbele, amepigwa vijembe vya chinichini na mungiki bado anajifanya kushupaa. Hajui jinsi mungiki wanavyokera kwenye huu uziHivi umeingia darasani kweli? nimekwambia kuwa sisi hatuna haja ya kushindana na mtu bali huwa tunajadili mambo ya msingi kuhusu maendeleo ya hii nchi lakini dakika ambayo mkenya anakanyaga humu, huanza kudhihaki nchi yetu na kuleta propaganda zisizo na mashiko. Unataka tukae kama midoli? peleka ukichaa wako milembe. Kila mtu humu ni mtu mzima na hauna jurisdiction yoyote kuamua nani afanye nini
Aendelee tu na kazi yake ya kishetani, hatabaki salama.Huyu jamaa kadandia treni kwa mbele, amepigwa vijembe vya chinichini na mungiki bado anajifanya kushupaa. Hajui jinsi mungiki wanavyokera kwenye huu uzi
Hiyo inaitwa kukosa cha kuongea. Tafsiri yako ya gauni inanifurahisha kwa sababu hata wanaovaa majoho na kanzu pia hayo ni magauni. Mimi sina mipasho maana sio tamaduni niliyokulia na kama unadhani kuwa ukinitukana sijui mimi ni gay or shit like that, ndio utaniharibia siku? jibwa koko tu wewe. Mi nimeishi kwenye nchi ambayo kutukana ni jambo la kawaida sasa hizi petty insults ni upuuzi kwangu. Tell you what, spare your time and go do something meaningful.
yani we hovyo kweli eti unajisifia kukua kwenye matusi haya bwana nisiwakatishe endeleeni na uzi wenu kwanza usingeniquote shaamua kuupotezea huu uzi wenu wa kimama mama sasahivi ndo naanza kuielewa ile tfsiri wanasemaga wanaume wa dar na nadhani hapa mmekutana na wa mombasa sijui nairobi haya mipasho mema endeleeni kupashanaHuyu jamaa kadandia treni kwa mbele, amepigwa vijembe vya chinichini na mungiki bado anajifanya kushupaa. Hajui jinsi mungiki wanavyokera kwenye huu uzi
Oya wee teledemu kama huoni cha maana humu hujalazimishwa kuja, zipo threads nyingi sana zinazokufaa. Sisi huku tunajifariji na maendeleo yanayofanyika nchini hatupo hapa kisiasa, tumeguswa na projects na maendeleo yanayofanyika kwa kodi zetu kwa kujuzana kinachotokea. Kama unataka mabishano nenda kwenye threads za kisiasa huko usituharibie vibes hapa. Unachafua hali ya hewa huku hadi unakera. Kwani nani asiejua kuwa Dar na Nairobi bado zinapambana kujijenga? Na kama unaona Dar hamna miundo mbinu kaa kimya ila wakenya wao wameona DSM ina miundo mbinu bora ndio maana wamekuja kujifunza namna ya kutengeneza BRT nairobi.sawa hata mashoga wanadai hako zao na kuna ngo zinawatetea upo sawa kabisa
sasa nikuulize tu swali hii battle intention yake ni nini?yaani unategemea kupata nini kwa kuishindanisha hii miji mnayoitaja humu?
sawaOya wee teledemu kama huoni cha maana humu hujalazimishwa kuja, zipo threads nyingi sana zinazokufaa. Sisi huku tunajifariji na maendeleo yanayofanyika nchini hatupo hapa kisiasa, tumeguswa na projects na maendeleo yanayofanyika kwa kodi zetu kwa kujuzana kinachotokea. Kama unataka mabishano nenda kwenye threads za kisiasa huko usituharibie vibes hapa. Unachafua hali ya hewa huku hadi unakera. Kwani nani asiejua kuwa Dar na Nairobi bado zinapambana kujijenga? Na kama unaona Dar hamna miundo mbinu kaa kimya ila wakenya wao wameona DSM ina miundo mbinu bora ndio maana wamekuja kujifunza namna ya kutengeneza BRT nairobi.
kafie mbele. Kama hutaki mtu akuquote kaongee na administrators wa jf. Halafu ngoja nikwambie kitu. Wewe sijui umekulia kwenye maisha gani lakini kitu ninachoweza kudeduce kuhusu maisha yako ni kuwa wewe ni dikteta, usiyependa kuona uthubutu na mbweha kama nyie ndio sumu kwa progress ya nchi hii. Badili maneno na tabia yako if at all unapenda kuwa mtu mwenye staha katika jamii. Tuko kwenye karne ya 21. Huwezi kuniambia nini cha kufanya you psychopath.yani we hovyo kweli eti unajisifia kukua kwenye matusi haya bwana nisiwakatishe endeleeni na uzi wenu kwanza usingeniquote shaamua kuupotezea huu uzi wenu wa kimama mama sasahivi ndo naanza kuielewa ile tfsiri wanasemaga wanaume wa dar na nadhani hapa mmekutana na wa mombasa sijui nairobi haya mipasho mema endeleeni kupashana
sawa asantekafie mbele. Kama hutaki mtu akuquote kaongee na administrators wa jf. Halafu ngoja nikwambie kitu. Wewe sijui umekulia kwenye maisha gani lakini kitu ninachoweza kudeduce kuhusu maisha yako ni kuwa wewe ni dikteta, usiyependa kuona uthubutu na mbweha kama nyie ndio sumu kwa progress ya nchi hii. Badili maneno na tabia yako if at all unapenda kuwa mtu mwenye staha katika jamii. Tuko kwenye karne ya 21. Huwezi kuniambia nini cha kufanya ya psychopath, go f**k yourself.
cool. Now bouncesawa asante
Naona nimekukamata umekimbia kwenye over pass😆😆😆😆hii ni njaa ..asa una post mara mbili ndio tuone majengo ni mengi
Oya wee teledemu kama huoni cha maana humu hujalazimishwa kuja, zipo threads nyingi sana zinazokufaa. Sisi huku tunajifariji na maendeleo yanayofanyika nchini hatupo hapa kisiasa, tumeguswa na projects na maendeleo yanayofanyika kwa kodi zetu kwa kujuzana kinachotokea. Kama unataka mabishano nenda kwenye threads za kisiasa huko usituharibie vibes hapa. Unachafua hali ya hewa huku hadi unakera. Kwani nani asiejua kuwa Dar na Nairobi bado zinapambana kujijenga? Na kama unaona Dar hamna miundo mbinu kaa kimya ila wakenya wao wameona DSM ina miundo mbinu bora ndio maana wamekuja kujisawa hata mashoga wanadai hako zao na kuna ngo zinawatetea upo sawa kabisa
sasa nikuulize tu swali hii battle intention yake ni nini?yaani unategemea kupata nini kwa kuishindanisha hii miji mnayoitaja humu?
Wewe ni mojawapo wa wale wamama wa zamani wasiojua kutangaza mema ya nchi yao. Wewe huoni wakenya hadi wanafikia kutangaza kuwa mlima Kilimanjaro uko kwao? Huo ukimya unaotaka tubaki nao hujui ndio unaowapa faida majirani kwa kuvitangaza vitu vyetu kuwa vyao? Mkenya haonagi aibu kutuma picha ya BRT ya Dar na kusema ipo Nairobi, wewe huwajui vizuri wewe. Pia wewe hujapita youtube na mitandao mbalimbali ambayo wakenya kila kukicha wanatengeneza takwimu kuitangaza vibaya Tanzania na Dar es Salaam? Unavyokaa kimya wenzako wanapiga dmo kuchukua credits kupitia wewe.yani we hovyo kweli eti unajisifia kukua kwenye matusi haya bwana nisiwakatishe endeleeni na uzi wenu kwanza usingeniquote shaamua kuupotezea huu uzi wenu wa kimama mama sasahivi ndo naanza kuielewa ile tfsiri wanasemaga wanaume wa dar na nadhani hapa mmekutana na wa mombasa sijui nairobi haya mipasho mema endeleeni kupashana
shawaachia uwanja mazee shida nini sasaOya wee teledemu kama huoni cha maana humu hujalazimishwa kuja, zipo threads nyingi sana zinazokufaa. Sisi huku tunajifariji na maendeleo yanayofanyika nchini hatupo hapa kisiasa, tumeguswa na projects na maendeleo yanayofanyika kwa kodi zetu kwa kujuzana kinachotokea. Kama unataka mabishano nenda kwenye threads za kisiasa huko usituharibie vibes hapa. Unachafua hali ya hewa huku hadi unakera. Kwani nani asiejua kuwa Dar na Nairobi bado zinapambana kujijenga? Na kama unaona Dar hamna miundo mbinu kaa kimya ila wakenya wao wameona DSM ina miundo mbinu bora ndio maana wamekuja kuji
Wewe ni mojawapo wa wale wamama wa zamani wasiojua kutangaza mema ya nchi yao. Wewe huoni wakenya hadi wanafikia kutangaza kuwa mlima Kilimanjaro uko kwao? Huo ukimya unaotaka tubaki nao hujui ndio unaowapa faida majirani kwa kuvitangaza vitu vyetu kuwa vyao? Mkenya haonagi aibu kutuma picha ya BRT ya Dar na kusema ipo Nairobi, wewe huwajui vizuri wewe. Pia wewe hujapita youtube na mitandao mbalimbali ambayo wakenya kila kukicha wanatengeneza takwimu kuitangaza vibaya Tanzania na Dar es Salaam? Unavyokaa kimya wenzako wanapiga dmo kuchukua credits kupitia wewe.
Hizo pigo unazozileta hapa ni za mawazo ya kiomaskini sana na watu kama nyinyi ndio mnaodidimiza hadhi ya Tanzania.
👇👇👇👇👇👇tulizanahii ni njaa ..asa una post mara mbili ndio tuone majengo ni mengi
Britam n uap kwenye kila picha Kwan we nawe huchoki?View attachment 1130518
wee tanzajingans mwaona cities vile za faa kuwa ...hapana zile nyumba tatu huwa mwashinda mkitu postia hapa
Kulingana na baadhi ya wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.
1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation
Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the battle.
ikiwa zilitengenezwa hapo ..wataka nizihamishe nyi watanzania mwanishangaza sana, ndio maana mko nyuma nyuma hivi na hiyo nchi yenu kubwaaaa lakini bure kabisaBritam n uap kwenye kila picha Kwan we nawe huchoki?
Imezungukwa na vibanda umiza tuView attachment 1130596
outering road