Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna jingaa moja tulikuwa tunaongelea EA air force ikaleta bomber za USA ikadai ni za
Kenya drinking force
Taabu inaendelea. Hawana lolote hawa jamaa, wakianza kushindwa wanakuletea gdp na picha ambazo sio hata zao wakidai kuwa zilipigwa kenya. kiukweli mimi siwezi kuvumilia fraud. Akileta ujinga kama huo namuaibisha hapa hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…