Da, hiyo ya ndege za jeshi nilikuwa sijaiona, Magu anatunisha misuli.Ziara ya JPM juzi Malawi alitua hivi Lilongwe View attachment 1081650View attachment 1081651View attachment 1081652
Ulinzi ulikua mkali Lilongwe.
walah jiji linafunguka 👍🇹🇿Maendelo ya barabara ya Ubungo Chalinze
View attachment 1081368
View attachment 1081369
View attachment 1081370
Source Muhidin Michuzi
Niliangalia Live kutokea Malawi. Dah!! Hakika wamalawi wako nyuma sana. Police wao wanyonge kweli wanafanana na wa kenya.Da, hiyo ya ndege za jeshi nilikuwa sijaiona, Magu anatunisha misuli.
Huwezi kujua uzuri wa Tanzania mpaka uone nchi zingine za Afrika zikoje na hii ndiyo sababu ya Tanzania kuwa chini ya kapeti kimataifa. Media zao zinaificha ficha kwa kuwaTz inapingana na zile propaganda zinazosema nchi za Afrika ni hovyo. Mfano ukisikia nchi za Afrika zina njaa, Marais wa Afrika hung'ang'ania madaraka, nchi hazijali utunzaji wa mazingira n.k utaona Tanzania haimo. Sasa huwezi kujua uzuri wetu mpaka uone nchi zingine zilivyo.Niliangalia Live kutokea Malawi. Dah!! Hakika wamalawi wako nyuma sana. Police wao wanyonge kweli wanafanana na wa kenya.
Hata hawa majirani zetu wa Kaskazini wakija Tanzania wanashangaa sana. Nilikuwa na Msichana mmoja kutoka Uganda tulitoka naye Bandarini tukapitia Ocean Road.Huwezi kujua uzuri wa Tanzania mpaka uone nchi zingine za Afrika zikoje na hii ndiyo sababu ya Tanzania kuwa chini ya kapeti kimataifa kwasababu inapingana na zile propaganda zinazosema nchi za Afrika ni hovyo. Mfano ukisikia nchi za Afrika zina njaa, Marais wa Afrika hung'ang'ania madaraka, nchi za Afrika hazijali utunzaji wa mazingira n.k utaona Tanzania haimo. Sasa huwezi kujua mpaka uone nchi zingine zilivyo.
Walichokifanya ni kubadilisha namba mbili kuwa namba moja na moja kuwa mbili. Hii ni sahihi zaidi kwa kuwa inapunguza barababara za miinuko za pembeni zisizokuwa na msingi.Mbona mchoro umebadilishwa ?
Ulinzi ulitakiwa uwe high 360° profile sababu haya mataifa mawili yalishazinguana kiasi cha kufikia hatua ya kukamata raia wa mwenzie, Malawi walikamata raia wengi wa Tanzania waliokua ziara ya kijamii kwa kuwahisi kama ni double agents on the mission kutoka Tanzania, Tanzania nayo ilikuwa inapitisha vessels zake za kijeshi na aircrafts kwenye anga la Lake Nyasa, so lazima Kiongozi Mkuu wa Nchi anapokua huko tahadhari ni muhimu ukizingatia the matter is not yet solved.Da, hiyo ya ndege za jeshi nilikuwa sijaiona, Magu anatunisha misuli.
Da, hiyo ya ndege za jeshi nilikuwa sijaiona, Magu anatunisha misuli.
Watakaongoza kwa vile watanzania hawana viwanda sasa kwa taarifa yako watanzania wanaviwanda mpaka china, unaongea nn kunguni wewe😂😂😂😂😂watakao ongoza hizo viwanda ni kina nani kama si sisi, uko na umama,,
2020Hii project itakua tayar lini?
Safi hii itasaidia pale jam lake kero sana2020
Watu mna maneno ya kukera[emoji3][emoji3]Niliangalia Live kutokea Malawi. Dah!! Hakika wamalawi wako nyuma sana. Police wao wanyonge kweli wanafanana na wa kenya.
Dar iko poa sana mtu akitoka huko na picha yake ya Afrika ya kipropaganda akifika lazima atastaajabika, magari mazuri ikiwa ni moja wapo. Utakumbuka Wode Maya alivyopagawa kuona jiji lilivyo... Aiya Maya!Hata hawa majirani zetu wa Kaskazini wakija Tanzania wanashangaa sana. Nilikuwa na Msichana mmoja kutoka Uganda tulitoka naye Bandarini tukapitia Ocean Road.
Alishangaa nakuanza kusema Mbona Tanzania watu wana magari Mazuri hivi?
Alishangaa kuona kwenye foleni Magari Makali, Mazuri na yanang'aa.
Huko Kenya Mambo siyo hayo ni tofauti Kabisa.
Vijana wa Kenya wakija TZ wanashangaa wanaona yale wanayoyasikia kwenye mtandao ni tofauti.
Kweli kabisa. Huyo Mwanamke nilimpeleka Mlimani City, Danube alichanganyikiwa kweli. akawa anapiga picha kila sehemu.Dar iko poa sana mtu akitoka huko na picha yake ya Afrika ya kipropaganda akifika lazima atastaajabika, magari mazuri ikiwa ni moja wapo. Utakumbuka Wode Maya alivyopagawa kuona jiji lilivyo... Aiya Maya!
Dar pia kana kaustaarabu flani hivi huwezi kukaona afrika mashariki, magharibi na hata kusini mwa Afrika. Ule ubaguzi baguzi wa kimatabaka haupo, ukiacha ule uliowekwa na wakoloni (uhindini, uzunguni). Dar ina "authenticity" fulani ya uafrika huwezi kukuta mji wowote mkubwa Afrika ukiwa hivyo.
Hukumpandisha mwendokasi?Kweli kabisa. Huyo Mwanamke nilimpeleka Mlimani City, Danube alichanganyikiwa kweli. akawa anapiga picha kila sehemu.
Ustaarabu wa Dar ni tofauti kabisa.
Nmenotice barabara ya juu kuelekea mlimani city ..ina BRT reserve road for phase 5 brt
December 2020 ndio makubalianoHii project itakua tayar lini?