Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sgr haifiki babdarini mizigo yote itabebwa na treni ya zamani mpaka icd ruvu hapo ndipo sgr ya mzigo itaanza safari zake ile ya abiria itaanzia posta
Aisee hii ni blunder takatifu kama haifiki bandarini!
 
Hivi wanajamvi niulize kwani sgr ya kwenda bandarini dar itapita wapi maana sioni mwelekeo wake
Teyari kuna hiyo miundombinu ipo reli ya metre gauge kutoka bandarini, kama ukiwa gerezani st kwenda bandarini st pale kwenye mzunguko mbele yake kuna daraja, chini yake kuna reli.

Nilivyosikia reli hii ya SGR, mabehewa ya mizigo yataanzia pwani ambapo kutakuwa na bandari kavu, kwahiyo mizigo kutoka bandarini na kwingineko itakusanywa kidogo kidogo na kupelekwa kibaha kwa kutumia reli ya zamani ya meter gauge ndipo ikusanywe na kuanza safari.



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…