Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Siku hizi sgr ilikwana hata kiherehere kimekwisha.
Yaani wewe ni mfano wa wale watu wanaoambiwa "usimtukane mamba hujavuka mto", nyie si mliondoka, unafanya nini hapa? na the fact that unasema haya ni kwamba huwa ni mfuatiliaji mkubwa sana wa hii threadπŸ˜›πŸ’£πŸ’‰πŸ’Š, aibu yako! Ujenzi wa SGR unaendelea tena vizuri sana. Video zinazopostiwa hapa ni very helpful kwa ajili ya kujua progress, I suggest you watch them first before shaming yourself
 
wacha urongo wewe ...sgr inapumulia mashine...imekwama...tangu mwaka uanze 45%
 
Pesa ya kula tu, ni taabu. ya bundle ni assignment.
 
Sisi GDPπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…