Godwin Gen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2017
- 1,309
- 2,277
Pole kaka
Kenya - 9200 km
View attachment 1069325
Tanzania - 7600 km
View attachment 1069326
Namba mtazidi kusoma. And Tanzania is almost twice the size of kenya
Unaleta statistics za 2014? Wakati kutoka kutoka kipindi hicho mpaka sasa Tanzania imejenga zaidi ya kilometers 5000Pole kaka
Kenya - 9200 km
View attachment 1069325
Tanzania - 7600 km
View attachment 1069326
Namba mtazidi kusoma. And Tanzania is almost twice the size of kenya
Mwenyewe anakwambia statistics!Wee nyumbu unamatatizo makubwa sana, yaani unapamabanisha Kenya ya 2019 against TZ ya 2013. Ushaloose budaa, nenda jikoni unga robo
Sasa unabisha nini wakati roadsfund.go.tz kazi yako ni kushughulikia miradi ya barabara inayofanyika, hata jiana lake "Roads fund" linajieleza.Always living in denial, poor danganyikans. Nyinyi hakuna statistics yoyote about your country mnakubaliana nayo
2014 right?Pole kaka
Kenya - 9200 km
View attachment 1069325
Tanzania - 7600 km
View attachment 1069326
Namba mtazidi kusoma. And Tanzania is almost twice the size of kenya
Naona bado uko nyuma sana be updated ewe nyaniPole kaka
Kenya - 9200 km
View attachment 1069325
Tanzania - 7600 km
View attachment 1069326
Namba mtazidi kusoma. And Tanzania is almost twice the size of kenya
Sasa wakati ndani ya miaka hamsini tangu mpate Uhuru ndio mumejenga 6000km sasa unataka kuniambia kwamba chini ya miaka mitano mmejenga 5000km!!! Enda ukawadanganye watoto wa chekechea sio watu wazima kama sisi. Hebu leta dhibitisho kwamba kutoka 2014 hadi Leo mmejenga 5000km.Unaleta statistics za 2014? Wakati kutoka kutoka kipindi hicho mpaka sasa Tanzania imejenga zaidi ya kilometers 5000
Mtanzania in mtanzania tu waelewe. Ukimtajia Google earth utarushiwa matusi ya ajabu kwa sababu wanajua huko kuna ukweli ambayo haufichwi na filters. It's all laid bare for the naked eyes. Jana nilimetea aerial photos za mitaa za kawaida sana Nairobi Kule maeneo ya eastlands Naye kwa hasira akatuma posh estates za dar kulinganisha na mitaa kama buru buru, South b, na nyayo estate niliyoleta Jana. I had to ask him what will he post nikianza kuleta picha za posh estates za Nairobi. Sikuona jibu lake.Nicxie...ichoboy asikudanganye na hzo picha zake za filters...tangu 2017 anatuma hzo tu...hana jipya...dar imejaa shanty houses...hemu mwambie akuletee middle class estates na majina yake ukajionee mwenyewe kw google earth...utacheka nakwambia...
na akikuletea middle class estates kw majina...we nitag nije nikusaidie kucheka...msee anatuma mpaka beach na mahoteli...
tena hzo picha alizokuletea hapo...kuna mpka zile posh suburbs za kwao...
Sasa unabisha nini wakati roadsfund.go.tz kazi yako ni kushughulikia miradi ya barabara inayofanyika, hata jiana lake "Roads fund" linajieleza.
Always living in denial. Yani kwao kila kitu ni ya 90s hadi unaanza kushangaa kwani are they living in 2100? Ukileta data za Kenya to prove a point, wanasema in za kupikwa. Ukileta data yao to prove a point, wanakuambia i za 90s kisha matusu juu yake. Viumbe vya ajabu sana. Kuna mmoja tayari ashanitusi hapo juu!tena narudia...wasikudanganye...wako kw denial...hta ukileta statistics za tz...utawaskia wakikwambia hzo si za sai..ni za miaka kumi iliyopita
They do but they are not online. BTW mimi siyo dogo.Does that mean they don't keep data of all road projects they've work on in kms? Dogo, danganya mwingine
Na hizo takwimu wamezitoa wapi? And when you say they are not available online yet they have a website with information on data inside what do you mean? Pole kwa kukuita dogoThey do but they are not online. BTW mimi siyo dogo.
Nikifugua google earth first thing nairobi naona slums ka mia hivi sa sijui unaongea niniMtanzania in mtanzania tu waelewe. Ukimtajia Google earth utarushiwa matusi ya ajabu kwa sababu wanajua huko kuna ukweli ambayo haufichwi na filters. It's all laid bare for the naked eyes. Jana nilimetea aerial photos za mitaa za kawaida sana Nairobi Kule maeneo ya eastlands Naye kwa hasira akatuma posh estates za dar kulinganisha na mitaa kama buru buru, South b, na nyayo estate niliyoleta Jana. I had to ask him what will he post nikianza kuleta picha za posh estates za Nairobi. Sikuona jibu lake.