Hutaki kusoma au unaogopa ulitakiwa usome ujue nn tunafanya na wapi tunaelelea πππKijana mdogo wacha longolongo. Sasa unatuletea figures from your government ilhali hutaki kukubaliana na figures za world bank! Ingekuwa ni mkenya ameleta source ya government ya Kenya you would have been so quick to dismiss them saying those are cooked figures. Is that not double standards? Halafu ulivyo mjinga, hukuchukuwa hata mda wako kusoma ripoti yenyewe. In the subtopic ' Electrification demand and electrification rate' it CLEARLY says ... 'World bank figures from 2014 shows a 30% overall electrification rate...with only 18% of your rural folk having access to electricity....' Kubali yaishe, ni asilimia 32 tu ya watanzania ndio wako na umeme na hata hiyo serikali yenu 'tukufu' imedhibitisha hilo
Unajipa matumaini kua zanzibar hoteli wakenya wengi nani alikwambia au unayo takwimu utuonesheππππYaani mnahangaika na kufananisha kenya na Tanzania?
Tanzania ipo mbali sana
Moja ni nchi isiyo na ukabila
Pili ni nchi yenye neema sana kila mahali
Angalia mito maziwa bahari vyote huwezi kufananisha na nchi ya kenya.
Ukitaka kujua wakenya wapo hoi nenda mashule asilimia kubwa wanaofundisha private schools wanatoka kenya.
Zanzibar asilimia kubwa wanaofanya mahotelini wakenya. Na pia mashuleni.
Kwahiyo
Tanzania huwezi fananisha na kenya hata kidogo.
Nisengesoma kama wewe nisingeona mahali imeandikwa access rate yenu ni 30%. Soma hiyo taarifa wacha kujifanya mbumbumbu. Yani karibu tunadouble access rate yenu ilhali mko wengi kutuliko! Aibu uliojeHutaki kusoma au unaogopa ulitakiwa usome ujue nn tunafanya na wapi tunaelelea πππ
Hutaki kusoma official link unalazmisha link ya 2016 ππππ mm nakuletea ya 2019 hutaki sasa unataka nnN
Nisengesoma kama wewe nisingeona mahali imeandikwa access rate yenu ni 30%. Soma hiyo taarifa wacha kujifanya mbumbumbu. Yani karibu tunadouble access rate yenu ilhali mko wengi kutuliko! Aibu ulioje
Sasa wewe umetoka kwa dimbwi lipi? Wakenya wengi kufanya kazi nchini Tanzania inakuonyesha nini kama mtanzania? Kwanza ni dhihirisho kwamba hamna enough human resource kuendeleza uchumi wenu ndo maana tuko na uchumi kubwa kuwaliko so you should even thank us. Pili, inaonyesha kwamba wakenya ni watu wa kujituma, sio kama nyinyi wazembe waliobobea kwa story za vijiweni na kongea za wengine ndio maana siku zote mmeaminishwa na sisiemu kwamba Kenya ilijengwa na wazungu. Nchi yetu tumeijenga kwa jasho letu japo changamoto bado zipo si haba. So chunguza unachosema usionekane mjinga wa kupindukia!
So kisa hii thread ndo ukaamua utupake tabia yenu? Kweli nyani haoni kundule na mkuki kwa ngurue mtamu ila kwa binaadamu mchungu.
Nikusaidie tu kama hilo bichwa lako haliwezi kuconnect dots, hii thread ni matokeo ya post zenu za mitandaoni kutengeneza posta za kuisort Tanzania na Dar es Salaam against uchafu wenu. Ingia youtube cheki comparisons mnazotuchafulia sifa zetu tena kuna yule nyumbu mwenzako anajiita tunacheki na mwingine africa insider and that is just sample bado search google utakuta .ke kibao zimetoa takwimu zao against Tanzania na Dar es Salaam, ukipata sehemu yenye umeme wa uhakika take your time sina haja ya kukuelezea sana maana kama kichwa chako kinachelewa kuscan ni matatizo yako hayanihusu
Hahaha naona umebaki kutapatapa kama mlevi. Jaribuni mujenge uchumi wa nchi yenu angalau ipite hata uchumi wa Nairobi kwanza ndio tukuje katika meza moja ya mdahalo na nyinyi bongolalasNonsense.
We have resources but we know mna struggle na maisha as human beings kama tulivyo wakomboa we are also giving job.
Kenya bado mbahangaika kuzuia Matatu (small car) zisiingie mjini wakati wezenu hayo tulishayaacha miaka 10 iliyopita now we are ahead kuweka mwendo kasi all around of of the city.
Hahaha fikieni hata asilimia 40 kwanza ndugu zetu danganyikansAlaf mwengine anazungumza habati ya access na umeme hawana wiki nzima ππππππππππππ
Wewe ni nyumbu kweli. Yani unaleta link na hata hujui link yenyewe inasema nini!!! Did you take time to read that 'official' link before posting it here ama wewe bora umesoma headline baas? Soma hiyo taarifa uliyoleta wewe mwenyew na uache kileleHutaki kusoma official link unalazmisha link ya 2016 ππππ mm nakuletea ya 2019 hutaki sasa unataka nn
Unazungumza habari ya access na wiki nzima umeme hakuna nchini kwenu???
Kumbe 2016 soma hiii 2019πππππHahaha fikieni hata asilimia 40 kwanza ndugu zetu danganyikans
View attachment 1066782
ππππππππ soma hapa uelimikeWewe ni nyumbu kweli. Yani unaleta link na hata hujui link yenyewe inasema nini!!! Did you take time to read that 'official' link before posting it here ama wewe bora umesoma headline baas? Soma hiyo taarifa uliyoleta wewe mwenyew na uache kilele
Mulijua miaka inarudi nyuma πππ miaka mitatu magufuli aliyoyafanya ni sawa na kenya miaka 30ππππWewe ni nyumbu kweli. Yani unaleta link na hata hujui link yenyewe inasema nini!!! Did you take time to read that 'official' link before posting it here ama wewe bora umesoma headline baas? Soma hiyo taarifa uliyoleta wewe mwenyew na uache kilele
hahahahah, anamsifu Mkulo, wenye mkulo wetu tunamfahamu kuliko yeye, wakenya limbukeni sanaNDUGU YANGU kenya wachafu hatari alafu wanahali mbaya sana .
Sijaona slams Tanzania lakini kenya zimejaa.
Maisha ya kenya magumu ndio maana always hawana subira wala hekima waropokaji ropokaji tu angalia professor Lumumba anavyoropoka talking without thinking ndio wengi wakenya wako hivyo.
You've just proven that one can live without a brain. That's the same link you keep posting here now and again and it says your access rate is at 30%. Wewe ni attention tu unataka. Soma hiyo link word by word and if you don't come across a paragraph saying your current rate is 30% basi umeshinda
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji116][emoji116][emoji116]walisema hatuwez jenga hasa waliposkia ndio itakua the modern electric train in africa,
View attachment 1066576
Barabara safiiiWanaopenda kuulizia nyuma ya hizi Towers pale Makumbusho
View attachment 1066554
Sent from my iPhone using JamiiForums
πππππΉπΏπΉπΏπΉπΏπππ