Ndugu Levi, hawa watu wa porojo na propaganda bado hawajafika, ona habari hiyo,
IOL | News that Connects South Africans
Discover the world of IOL, bringing you a mix of current news across politics, sport, business, motoring and lifestyle. Telling your stories and driving change!www.iol.co.za
We jibwa koko kabisa! fleet ya kq mna ndege tatu, mnalease aircrafts na losses mnapata tena sio kidogo. You are a mere kunyan citizen who doesn't even know the economic idea behind this. ATCL bado mostly flights zake ni domestic na international destinations ni Entebbe, Bujumbura, Harare na Lusaka. Tunazidi kutaka kupanua wigo wa ATCL kwenda Guangzhou, China na Mumbai, India kwenye major importers of our goods. Sasa wewe na hilo domo lako kama jibwa lifunge! utapata aibu sana kuwa hapa, nenda darasani kasome hata umalize primary education ndo urudi hapaAnd i told them to compete with Jambo jet of kenya ama hiyo yao precision air, TZ Air is still shit, sijui wanajigamba ya nini
Kwani nn tatizo la fokker 50 mbona kenyatta anatumia fokker 28 na hatusemi hapa wakat the same fokker 28 huku inatumiwa na mawaziriπππππ
Miaka 47 ya kq bado munamiliki ndege 3 ππππππ wakat air tanzania imefufuliwa within 2 yrs ina ndege 8 sasa hvi cash deal
Punguza hasiraπππππAnd i told them to compete with Jambo jet of kenya ama hiyo yao precision air, TZ Air is still shit, sijui wanajigamba ya nini
Miaka 47 ya kq bado munamiliki ndege 3 ππππππ wakat air tanzania imefufuliwa within 2 yrs ina ndege 8 sasa hvi cash deal
Si bora yetu sisi tunaowapa shavu majirani nyie ni nini mnatoa kwa east africa zaidi ya ukabila na roho mbayaππππNdugu Levi, hawa watu wa porojo na propaganda bado hawajafika, ona habari hiyo,
IOL | News that Connects South Africans
Discover the world of IOL, bringing you a mix of current news across politics, sport, business, motoring and lifestyle. Telling your stories and driving change!www.iol.co.za
Ila ATCL will find it hard to reclaim that business later on when it wants to enter cargo business! I don't necessarily like the bromance btn Kagame n Magufuli!Si bora yetu sisi tunaowapa shavu majirani nyie ni nini mnatoa kwa east africa zaidi ya ukabila na roho mbayaππππ
Hapana bro unajua biashara ya samaki ni muhimu sana kwa nchi ni vyema kufanya hvyo kutangaza market abroad kwanza inakupa faida kwa maana utakapoanza ww hutatumia gharama kubwa kutafuta soko na maeneoIla ATCL will find it hard to reclaim that business later on when it wants to enter cargo business! I don't necessarily like the bromance btn Kagame n Magufuli!
What? Hili ndio jiji kubwa baada ya Jozi?Jiji zima lina fire station mbili ambazo ziko in service alaf wanakuja kufungua makalio yao hapaππππππ
A220 mbili
Wanatia huruma sanaππππWhat? Hili ndio jiji kubwa baada ya Jozi?
Kq inamiliki ndege tatu na ni shirika lina miaka 48ππππkama hujui uwepo ya hio ndege itaongeza mapato pale kwenye loss endapo ndege kubwa zinaleta hasara. Maana capacity ya Fokker ni 48 si rahis hii isafiri bila kuwa fully... sasa wew unajisifia ndege kubwa na pengine hazijazi watu na bado kila mwaka shirika lenu linapata hasara...
Usisahau fokker 50 na q300 za ATCLA220 mbili
Dreamliner moja
Q400 NewGen tatu
6 modern aircrafts bought in cash! Oh I forgot another Dreamliner is late and Boeing has to pay us few $(few but can feed the entire Turkana hunger infested society for more than a month)
Another q400 on order!Usisahau fokker 50 na q300 za ATCL
economy,bigger than dar,
My friend zungumza vitu ukiwa na akili timamu plzππππeconomy,bigger than dar,
airport,biggest in east africa,
developed than dar
industrialized than dar
intelligent than dar
technological advanced than dar
popular than dar
beautiful than dar
Do u still talk about economy???ππππeconomy,bigger than dar,
airport,biggest in east africa,
developed than dar
industrialized than dar
intelligent than dar
technological advanced than dar
popular than dar
beautiful than dar