Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Mnajitahidi sana kujitangaza. Ila wazungu sio nyumbu kama mlivyo, wanaelewa fika kuwa alieuliza swali ni mkenya na aliyejibu vilevile thats why hakuna mtu anapoteza muda wake kucomment.
Kuna film moja nliwahikucheki nkiwa mdogo ikawa kuna mzee moja alitoa msemo usemao "Kwa mtu alienasa kwenye tope, kadri anavyozidi kufurukuta ndivyo anavyozidi kuzama" Too bad utachelewa kuamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…