Kijitonyama budaaππππππKaribu Upperhill sasa, mimi ndakupeleka pole pole
Alafu Twende Langata road ukielekea kibich
tukuje upande wa ngong road and mbagathi area
Bado sana budaaππππππ utarudi na utaenda sana tuNakurudisha CBD and downtown
Hizo umezirudia na kubadilisha angle, kajifiche mbugani budaakaribu westlands
Sasa hii Kijitonyama inamalizana na westland. baada ya hapo hawana ya kupambanisha na Posta, Upanga, Kariakoo, Masaki, Oysterbay, mbezi beach, temeke n.kKijitonyama budaaππππππ
View attachment 1004643View attachment 1004644View attachment 1004645View attachment 1004646View attachment 1004647
Chief, huoni haya unatuonesha picha za mji halafu kule nyuma au mbele ni mbuga? Halafu hiyo yenye njia naona kibasi cha mtindo wa kile kibasi cha gormahiaNakurudisha CBD and downtown
Sijampeleka kariakoo nashangaa karudi tena CBDππππππChief, huoni haya unatuonesha picha za mji halafu kule nyuma au mbele ni mbuga? Halafu hiyo yenye njia naona kibasi cha mtindo wa kile kibasi cha gormahia
Sasa hii Kijitonyama inamalizana na westland. baada ya hapo hawana ya kupambanisha na Posta, Upanga, Kariakoo, Masaki, Oysterbay, mbezi beach, temeke n.k
We nawe acha uboya ,magomeni kuna nini cha maana?.Bado magomeni heheh[emoji23][emoji23][emoji23]
Hehehe ,Hadi temeke? Makubwa hayo.Sasa hii Kijitonyama inamalizana na westland. baada ya hapo hawana ya kupambanisha na Posta, Upanga, Kariakoo, Masaki, Oysterbay, mbezi beach, temeke n.k
Kariakoo hamna kitu ,ni wauza nguo Tu.Sijampeleka kariakoo nashangaa karudi tena CBD[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Hehhe wewe unajua kuna nn???πππ
Endelea kujidanganya kariakooπππ
Part of temekeπππππ
The area btn Shekilango to Mlimani city will be another CBD, think of ministry of water tower, nssf tower, Mlimani tower, Mlimani city complex with new hotel, conferences, Aga Khan University, Blue Pearl Hotel n Apartments plus the new East Africa business center with thousand of shops!