middle income hawawezi afford Mr Price merchandize?
wazambia huwambii kitu kuhusu bidhaa za bakhresa.
SADC Market
that is my guy moiz hussein. [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Ukiwaomba Watu wa Nairobi wakuonyeshe stand ndogo ndogo za Jiji utacheka
View attachment 989820
Sent using Jamii Forums mobile app
Noma sana kama flightrader24Kenya wakiwa na hii system ya regional bound buses live tracking system nitajipiga life ban milele View attachment 989836View attachment 989837
Hatari tupu, hii system ina Kitengo chake ukiingia control room ina screens zinazotoa taarifa kwa kila bus liko wapi na speed yake na limesimama mara ngapi, limetoka saa ngapi stand na taarifa nyingi muhimu, mabasi yote ya mikoani yamefungwa tracking system.Noma sana kama flightrader24
Waipateje kwanza...ππππ π π π€£π€£π€£ Serikali yao haijui vitu vizuri...π π πKenya wakiwa na hii system ya regional bound buses live tracking system nitajipiga life ban milele View attachment 989836View attachment 989837
Tanzania sio mchezo....πππππππ
Mabasi mengine yashaanza kutumia ticketing systems. Bus terminal ya mbezi itakapokamilika mabasi yote ya mkoa yatakua yanatumia eticketing systemsHatari tupu, hii system ina Kitengo chake ukiingia control room ina screens zinazotoa taarifa kwa kila bus liko wapi na speed yake na limesimama mara ngapi, limetoka saa ngapi stand na taarifa nyingi muhimu, mabasi yote ya mikoani yamefungwa tracking system.