Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiyo ni 6lane hizo za pembezoni ni kwaajili hako kashort bridge maalum kwaajili yakuingilia kwenye hiyo barabara kuu ambayo ni 6lane......
Na iditoshe ukivuka tu hiko kijipande hizo za pembeni hazionekani

Wakenya ni wapuuzi siku zote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kila wakikuletea picha ni hako hako kaeneo
Barabara hiyo ni Njia 6 pekee lakini jamaa kwa misifa wanakuambia 12
Tulisha waeleza wakawadanganye wanaigeria sio Watanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…