wapo safarini kwenda mashinani kusherehekea sikukuu ya krismasi na mwaka mpya.[emoji16][emoji16][emoji16]Mtuache na Nairobi Yetu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 971107View attachment 971108
😂😂😂😂😂😂🌕 Nimecheka balaaMtuache na Nairobi Yetu...😂😂😂👇👇👇View attachment 971107View attachment 971108
KweliNeema juu ya neema, pale nchi nyigine za Afrika zinaporipoti kupungua kwa tembo sisi kwetu wanaongezeka. Mungu ibariki TZ
Hawa wametukosea heshima sana, yaani slums zote hizi katikati ya miji ndo wanataka kua ligi mija na Dar!
NiceNgorongoro
hivi wamekimbia kwa sababu ile video ya pikipikim iliyokatiza mabibo? sasa kama kuna mtu kakatiza hivyo kwenye huo mtaa waohapo juu wenye mabeseni nje ndio ana conclude pako hivyo pote na kusurrender? what kind of assessment is that? sema tu labda hawana udole tena wa kujibu shambulizi IMO
Mnataka kuwapora ufalme wao?. Picha waliyonayo juu ya Tanzania ni mbaya sana, hawaamini wanachoshuhudia.hivi wamekimbia kwa sababu ile video ya pikipikim iliyokatiza mabibo? sasa kama kuna mtu kakatiza hivyo kwenye huo mtaa waohapo juu wenye mabeseni nje ndio ana conclude pako hivyo pote na kusurrender? what kind of assessment is that? sema tu labda hawana udole tena wa kujibu shambulizi IMO
4880km hii hadi iishe awamu zote itachukua mda sana. ..BTW Ni kitu poa sanatutaelewana tu.
wakenya siku zote wamekuwa wanajisifia kwa uwezo wao wa kuzungumza kingereza.
mara kadhaa nimekuwa nasema, kingereza ni lugha ya kimataifa, mzungumzaji yafaa aishi maisha yenye standard za kimataifa.
sio unajisifu kuzungumza kingereza ilhali huna ajira, unakaa katika makazi duni ya kibera na mathare na maisha yako kwa ujumla ni ya kuonewa huruma.
kwa tangazo hili la ajira, kuna wakenya wanajuta kuzaliwa wakenya. maana wengi hawana ajira.[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 971164View attachment 971165
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nairobi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 971096View attachment 971097View attachment 971098
Umewaambia wenzako kàma umerudi huku[emoji51][emoji34][emoji34][emoji34]Tuacheni na Nairobi yetu with our creativity...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 971199View attachment 971200
SaaaanaHawa wametukosea heshima sana, yaani slums zote hizi katikati ya miji ndo wanataka kua ligi mija na Dar!
Cc mdangaji mkubwa Janerose mzalendoSaaaana
Wakenya weeeengi ni wadangaji Nairobi kila kitu kimeshikwa na foreigners wao ni vibarua tu na wamachinga