Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kasarani wanakali zege na kumbe wengine wanakalia chumaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
iyo ni slum ya dar buda danganya wajinga
Sasa unajifanya unaijua darπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mm nakwambia huo ni mto msimbazi unanibishia na hzo nyumba zote zishabomolewa kama unabisha semaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…