Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🤣🤣🤣🤣🤣 jamaa kaachwa msambwanda wote nje .
Yani nimecheka ndinda Mungu ndio anajua 😂😂😂😂😂😂 yani walikua wamuache kama alivozaliwa sasa mtu anaiba chupi anapeleka wapi kuna jamaa kauliza alieiba jino la dhahabu kaiba vipi au katumia smaku😆😆😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…