Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

VS Dar es Salaam ya 2016


Hapa hamna misitu kama ilivyo kwa hiyo yenu ya Nairobi, only towers bila mwisho
 
Mibongo saa zingine vichaaa sasa nini haswa itatuma tuumie hapo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuwanga serious kijana na utembee kidogo [emoji23][emoji23][emoji23]
Ntafika NBO ila ningependelea zaidi niendeshe mwenyewe ...hadi nijipange niweke mambo yangu sawa kwanza
 
Mbavu zangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii ndio wanasema tunaumia....mungu aendelee kuniweka Manisha marefu nizidi kuona maajabu
 
Ndege za kwetu wenyewe hata zikipiga route za ndani,who's gonna care!!..tungekuwa tume-lease kama nyinyi tungeanza kuwa na wenge maana muzungu anataka chake ye hajui kama umepata faida au hasara!so sad!
Wacha kulia basi pangusa machozi babaaa!!!
 
Nairobi 1990

Dar es salaam 2018 december 10th
 

Attachments

  • 1544437682141.png
    267 KB · Views: 35
According to you[emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122]
[emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382] !!!yani kwenu city ni government buildings tosha...mpewe kofia na kanga za kijani na mpikiwe mpunga...mwisho c hoyeeee....duh!!yani kenya ya 90s..unadanganywa na chakula kweli..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…