Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Credit goes to mfotoaji, kwann battle iishe?we want to know more abt Nbo ,infact mm hua kuna mda hata sikumbuk kuhusu battle napata faraja tu kuona midude ya pande zote mbili...I love this topic mno...na pendelea iendelee
Sawa iendele lakini hapa hakuna battle yoyote sababu tunajua Nairobi haina competitor hapa east, central,west na north africa
 
Imagine hapo hakuna buildings kama pinnacle,montave,akili,88 Nairobi na cutting[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Sawa iendele lakini hapa hakuna battle yoyote sababu tunajua Nairobi haina competitor hapa east, central,west na north africa
Hivi una Habari hii battle ina mwaka sasa?inawezekanaje mwaka mzima bado hakuna alie surrender? Dar Sio pa mchezo mchezo
 
Hahaaha nmefurahia sana...hahahahahahaha....
Mm nimecheka sana kuona upperhill CBd na westland imekaa kwenye picha moja yani nairobi ishakaa bila chupi😂😂😂

Alaf munataka shindana na dar😆😆😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…