Anyway mlijaribu kwa kujenga hizi tatu lakini kujenga zingine itawachukua miaka Mia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unajua nyie mnachekesha. So kuwa na building ndefu ndio kitu gani sasa? Dubai in 2004 unajua ilikuwaje? London, Shanghai in 2004 hazikuwa kama zilivyo leo. Sasa hivi kuna skyscraper boom na haijalishi miaka hiyo ilikuwaje. Kuweni educated for once basi.
Ahahaha moja eti 😂😂😂 umeanza kupagawaBuda club?..kama mall mko na moja
Bring that official linkPut numbers alaf niambie zimefika 30 munataka kutuletea usanii hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
According to avic official link is 42 35 29 27 25 23
Majengo kuisha hayajaisha munaanza kutuletea usanii[emoji3][emoji3][emoji3]
Anyway mlijaribu kwa kujenga hizi tatu lakini kujenga zingine itawachukua miaka Mia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 961380
Bring that official link
Sawa Joan😂😂😂 Ulisema nikutumie picha za Congo??😂😂Road construction in Rwanda. Tanzania inavuta mkia ukanda huu linapokuja swala LA barabara (quality roads)View attachment 961379
Clean this away first ndo uongee na mimiAnyway mlijaribu kwa kujenga hizi tatu lakini kujenga zingine itawachukua miaka Mia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 961380
Wewe wacha kujidanganya tena kwenye swala la infastructures hua tuko makini sana na kama ulikua hujui TANROAD ndio institute ya tatu kwa ubora africa😂😂😂Road construction in Rwanda. Tanzania inavuta mkia ukanda huu linapokuja swala LA barabara (quality roads)View attachment 961379
Haha lamba lolo buda westy pekee inatoa dar yoteGoogle is ur friend siko hapa kwa ajili ya kukutumikia ww ingia google u will find there
Anyway mlijaribu kwa kujenga hizi tatu lakini kujenga zingine itawachukua miaka Mia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 961380
Haha lamba lolo buda westy pekee inatoa dar yote
Tatu hizo hapo,Anyway mlijaribu kwa kujenga hizi tatu lakini kujenga zingine itawachukua miaka Mia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 961380
Pole mimi najua tatu tu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Tatu hizo hapo,
Hii ni ya 4, zote hizo ni above 35floors
View attachment 961410
Na hizi mbili ni ya 5 na 6
View attachment 961411
Now Dar Got 6 over 35floor buildings,
How many are they in Nairobi?
Janerose hiki kipicha umeshakipost sana badilisha basi. Kwa hiyo is this the best road in Rwanda? patheticLol.....elimisha kilaza mwenzio ichoboy hajitambui. Leteni highway kama hii kutoka bongo. RwandaView attachment 961412
Mbona ujibu swali langu Joan?? Mimi mtoto wako nita mlea....😂😂😂Lol.....elimisha kilaza mwenzio ichoboy hajitambui. Leteni highway kama hii kutoka bongo. View attachment 961412