Tractor Mzee, hii Mersey Furguson inafanya nini kwenye international airport!? Lakini nyinyi!!!!![emoji848][emoji848][emoji848]
View attachment 960858
Ilikua inalima mbahaziπππππππ€£π€£π€£π€£Kwa hiyo Mr Wanjala hapa kwenu ni shamba la njegere nini, Hii tractor inafanya nini Jomo Kenyatta International Airport
View attachment 961085
View attachment 961086
Dar hawagusi hata robo[emoji2][emoji2]Arusha pekee inaeza simama na club za nairobi + mombasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwanza haigusiki dar ndio kabisa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa hiyo Mr Wanjala hapa kwenu ni shamba la njegere nini, Hii tractor inafanya nini Jomo Kenyatta International Airport
View attachment 961085
View attachment 961086
Club floridaClub florida iko maeneo ya light house mombasa niliingia siku moja nilicheka sana club juu makuti hehehe club inanuka haina mfanoπππππππ ndio inasifika mombasa nzima na inasemekana kama hujafika hii club hujafika mombasaππ
View attachment 961052View attachment 961053
Asante kwa povuClub floridaiko maeneo ya light house mombasa>>> FALSE
niliingia siku moja nilicheka sana club juu makuti hehehe club inanuka haina mfano[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116] ndio inasifika mombasa nzima na inasemekana kama hujafika hii club hujafika mombasa[emoji16] >>> This must be Casablanca you are talking about.
wachana na hearsay. you have never been to Mombasa, kama unaweza sema Nyali Bridge iko Dubai,,, sijui ni Mombasa gani ulifika.
πππππππππππClub floridaiko maeneo ya light house mombasa>>> FALSE
niliingia siku moja nilicheka sana club juu makuti hehehe club inanuka haina mfanoπππππππ ndio inasifika mombasa nzima na inasemekana kama hujafika hii club hujafika mombasaπ >>> This must be Casablanca you are talking about.
wachana na hearsay. you have never been to Mombasa, kama unaweza sema Nyali Bridge iko Dubai,,, sijui ni Mombasa gani ulifika.
Asante kwa povu
not really...Ahahahhahaha endelea kujipa moyo hvo hvoπππππππππ nimetoboa siri imekuuma sanaππππ
πππππππππππnot really...
first of all, hakuna Club Lighthouse
second, Florida haina makuti na iko mbali sana na Lighthouse.
third, club yenye sifa ya "lazma ufike" ukiwa Mombasa ni Casablanca na ndio yenye top floor yake ina makuti...
lemme stop at that.
btw, lemme add the two clubs to my 'itinerary' this dec.... nataka kumwaga pesa huko mbaya sana this holiday
hahaha.... so hizo circles mbili, unajua distance yake?πππππππππππ
Wewe hunidanganyi mm kuhusu mombasa
View attachment 961088
Kwan nimesema nn mm nimesema iko maeneo ya light house au kiswahili kwako kigumu sana ππππππhahaha.... so hizo circles mbili, unajua distance yake?
wachana na Lighthouse kisha uwache ku-confuse Casablanca na Florida.Kwan nimesema nn mm nimesema iko maeneo ya light house au kiswahili kwako kigumu sana ππππππ
Ahahahhaha pole sana buda so tumekubaliana kua florida iko maeneo ya light houseππππππππwachana na Lighthouse kisha uwache ku-confuse Casablanca na Florida.
siwezi kupa more information about those clubs coz najua utaenda kwengine kisha utumie info niliyokupa kumdanganya mtu mwengine
Nope. nimekwambia uondoe hilo neno "Lighthouse" maana hakuna Club hapo. Kisha Lighthouse iko Cbd.Ahahahhaha pole sana buda so tumekubaliana kua florida iko maeneo ya light houseππππππππ
Sasa leta club unayoiamini mombasa ipambane na arusha au mwanza utachagua weweπππππ
Una wazimu au Kichaa????? Mwanza na Arusha ndio wadudu gani?????Sasa leta club unayoiamini mombasa ipambane na arusha au mwanza utachagua weweπππππ
shwain mwenyewe. tena mkubwa kabisa. Fid q ata-rap saa ngapi na atajichubua saa ngapi?Nyau kabisaa...Marap gani haoo unamuacha Fid unambeba Kaligraph...shwain!
na huyo Mkenya je?!Sarkodie my fav kwa kweli
Na hao wasouth wote wamestahili
So hutaki ukwei au πππππππππππππNope. nimekwambia uondoe hilo neno "Lighthouse" maana hakuna Club hapo. Kisha Lighthouse iko Cbd.
Casablanca iko karibu sana na Lighthouse kuliko Florida.
Florida haina makuti na iko undergroud, ufukweni kabisa, wamefanya land reclamation kando ya bahari na kujenga ukuta.
club yenye sifa ya "lazma ufike ukiwa Mombasa ni Casablanca.
kuna sababu ya wanaojua wanaenda kufuata nini huko wanasema "lazma ufike"
again stop confusing Florida and Casablanca
Una wazimu au Kichaa????? Mwanza na Arusha ndio wadudu gani?????
hizo sio levo za Mombasa... labda ungesema dar au Capetown hapo ningekuelewa