Iconoclastes
JF-Expert Member
- May 26, 2014
- 4,091
- 2,511
Hiyo haibadilishi ukweli ya kwamba KQ is one of the biggest airlines in Africa....ATCL ittachukua mda sana kuwafikia.Soma kwanza hapo alafu ndio utajua mimi naongea nini
Plane leasing deals leave Kenya Airways with Sh4 billion loss
Sawa malizeni tatizo la njaa na uchaguzi kwanza maana usisahau vita ya uchaguzi as usual sio leo wala keshoBila shaka. Si muumeulizia pia na master plan? part f the vision 2030.
Hahahahahaha nilichowafundisha wenzio vichwa vyao leo vimepata moto hahahahahha tuliza ubongoHiyo haibadilishi ukweli ya kwamba KQ is one of the biggest airlines in Africa....ATCL ittachukua mda sana kuwafikia.
Wewe deal with itMna jumlisha na Minara!!
Sasa asiseme ukweli kwamba pamoja na minara????????Wewe deal with it
More profit hiyoPwahahahaa......... Panga Boy.... Hata Coast bus inamake more profit than it.
Na hio loss inawatesa 4 yrs mpaka Leo hii navozungumza hapa loss inawaua kimya kimya
Kwahiyo hii so called pride of Africa imeendelea kupata loss yearly tangu 2015? Hawa jamaa sijui baishara zao wanaziendesha vipi? Ma boasting mengi hawana lolote. Nairobi yote ilijengwa na muingereza alafu wanajigamba, wakati sisi Tanzania hatukujengewa na waingereza. Mpaka hii leo tunaijenga wenyewe wala hatujidai. Everything of ours is modern compared to the shit hole of Nairobi!Na hio loss inawatesa 4 yrs mpaka Leo hii navozungumza hapa loss inawaua kimya kimya
Na inamadeni zaidi 150 billion ksh out of that loss hahahahahahah alafu anakuja mtu hapa anatunisha misuliKwahiyo hii so called pride of Africa imeendelea kupata loss yearly tangu 2015? Hawa jamaa sijui baishara zao wanaziendesha vipi? Ma boasting mengi hawana lolote. Nairobi yote ilijengwa na muingereza alafu wanajigamba, wakati sisi Tanzania hatujengewa na waingereza. Mpaka you leo tunaijenga wenyewe wala hstujidai. Everything of ours is modern compared to the shit hole of Nairobi!
say what now? the roads, all bulidings in the city zilijengwa na nani? do some researchKwahiyo hii so called pride of Africa imeendelea kupata loss yearly tangu 2015? Hawa jamaa sijui baishara zao wanaziendesha vipi? Ma boasting mengi hawana lolote. Nairobi yote ilijengwa na muingereza alafu wanajigamba, wakati sisi Tanzania hatukujengewa na waingereza. Mpaka hii leo tunaijenga wenyewe wala hatujidai. Everything of ours is modern compared to the shit hole of Nairobi!
Mko na nini modern kushinda Nairobi?Kwahiyo hii so called pride of Africa imeendelea kupata loss yearly tangu 2015? Hawa jamaa sijui baishara zao wanaziendesha vipi? Ma boasting mengi hawana lolote. Nairobi yote ilijengwa na muingereza alafu wanajigamba, wakati sisi Tanzania hatukujengewa na waingereza. Mpaka hii leo tunaijenga wenyewe wala hatujidai. Everything of ours is modern compared to the shit hole of Nairobi!
Tuna public transport system ambayo Kenya will never have.. mtaendelea na matatu yenu mpaka kiama.Mko na nini modern kushinda Nairobi?
Roads? Suburbs? Buildings? Malls??
BRT? Ever checked our roads mate? The new subway plans, new light rail plans?Tuna public transport system ambayo Kenya will never have.. mtaendelea na matatu yenu mpaka kiama.
Are you talking about roads of potholes or plans to build roads?BRT? Ever checked our roads mate? The new subway plans, new light rail plans?
If you have plans, TZ also have plans that are many than Kenya!BRT? Ever checked our roads mate? The new subway plans, new light rail plans?
BRT? Ever checked our roads mate? The new subway plans, new light rail plans?
Half of those pictures aint even Kenyan. You can check by the side they are driving on. Hata hio picha ina a lot of yellow vehicals ni Nigerian mate, they paint their stuff Yellow. check out Lagos public system
[emoji115]
Is that what you calling subway and trams plans in Kenya?
You should really check out our roads, potholes are very rare siku hizi in Kenya. Unless you are in denial and jyou just want to believe Kenya does not have roadsAre you talking about roads of potholes or plans to build roads?