Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ahahahhaha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] vp slums zingine[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]

Always in denials[emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]mzungu sio mjinga
Sasa mkuru kayaba ni nyba za tope na tofali alafu bati juu..km hizi za dar..kisha unakataaa km dar is a slum city..kweli mjinga ni mjinga tu
 
Ahahahhaha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] vp slums zingine[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]

Si jibu hoja za Twitter[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] utaumia sana na kenyA..endelea kuimba uone km uchumi wa bongo utaimarika..[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Si jibu hoja za Twitter[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] utaumia sana na kenyA..endelea kuimba uone km uchumi wa bongo utaimarika..[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
60% of nairobi wako kibera how about other slums????πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ au wanaishi kondoo na nguruwe tu
 
Leo naona umekubaliana na mm km dar is a slum city...tofali km hz tena kibao.tena ziko zaidi ya hz...anyway mko kw denials.hapi kuna nyumba za tofali ila bado zinaitwa slums...lkn kule ldc mtu akiwa na uswazy houses unaona ni middle class..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Umepanic bila shaka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Huu uchafu wa maisha yao halisi ndiyo wanaouficha[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Usafi wa dar mnaojisifia nao huu hapa[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Wamesogeza mbele mbona unaumia sana na air tanzania[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] airline imefuliliwa juzi inakunyima usingizi, naskia direct flight za newyork na somalia zimawatokea puani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kusogeze nn ndege ni mbovu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Umesahau DMDP, Kajenge rd inapanuliwa, Akachube, mabatini, kwa mtogole, mawasiliano na nyingine kibao zina pigwa mkeka wa maana. Barabara ya Sinza inapanuliwa nakuwa na 4 lanes.
Nitajie za mwanza pia..
 
Siku kisumu au mombasa ikipata night club yenye hadhi hii munitagπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Nitafunga account jamii forum

Club D arushaπŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…