Unanielewa kiswahili niletee facts ambayo kenya airways imenunua ndege ya aina yoyote cash achana na hizo za kulease hahahahahha tuliza ubongo kwanza😀😀😀hat year, the airline ordered two Airbus A310-300s. Kenya Airways was the first African carrier to acquire the type, and they were the first wide-bodies ordered by the company.[24] Funded with a US$20,000,000 (equivalent to $43,697,632 in 2016)
Wewe leta facts pia hapa mmenunua dreamliner cashUnanielewa kiswahili niletee facts ambayo kenya airways imenunua ndege ya aina yoyote cash achana na hizo za kulease hahahahahha tuliza ubongo kwanza😀😀😀
Kenya airways leases its planes to other carriers. Not the other way roundUnanielewa kiswahili niletee facts ambayo kenya airways imenunua ndege ya aina yoyote cash achana na hizo za kulease hahahahahha tuliza ubongo kwanza😀😀😀
Bro naomba upumzike tuonane kesho😀😀😀😀Kenya airways leases its planes to other carriers. Not the other way round
Soma hapo broo. 😀😀😀Wewe leta facts pia hapa mmenunua dreamliner cash
😀😀😀😀😀😀😀😀 Shirika lenu hata hamujui liko vipi pumzika broMost KQ planes if notr all ni zake, za kununua
Mkuu hivi Boeing ya air tz imefika ?kama haijafka lini itafika?😀😀😀😀😀😀😀😀 Shirika lenu hata hamujui liko vipi pumzika bro
Mwezi wa tano au wa sita mwaka huu tuna pokea bomadier q 400 mpya alaf mwakani mwezi wa sita tunapokea ndege 3 ikiwemo boeing 787 dream liner pamoja na bombadier CS 300 mbili zitakua na uwezo wakubeba abiria 160 kila moja na zote zimenunuliwa cashMkuu hivi Boeing ya air tz imefika ?kama haijafka lini itafika?
How on earth do you compare your airliine na KQ? Now you are purely deluded mateMwezi wa tano au wa sita mwaka huu tuna pokea bomadier q 400 mpya alaf mwakani mwezi wa sita tunapokea ndege 3 ikiwemo boeing 787 dream liner pamoja na bombadier CS 300 mbili zitakua na uwezo wakubeba abiria 160 kila moja na zote zimenunuliwa cash
Kulingana na baadhi ya wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.
1. Master Plan of the city
You cant compare the two airlines mateMwezi wa tano au wa sita mwaka huu tuna pokea bomadier q 400 mpya alaf mwakani mwezi wa sita tunapokea ndege 3 ikiwemo boeing 787 dream liner pamoja na bombadier CS 300 mbili zitakua na uwezo wakubeba abiria 160 kila moja na zote zimenunuliwa cash
Subway, cool
hhahaha kenye buying aircraft cash kumekushinda hahahahahahaha sasa ndo siku nyingine ujifunze kua kenya airways hawamiliki hata ndege moja zote ni za kulease my friendYou cant compare the two airlines mate
Yours is inferior by farView attachment 501869 View attachment 501870
proposed kumbe hahahaha kwanza malizenui tatizo la njaa na uchaguzi😀😀
nope, ona hio link. Plus KQ has a fleet of 37, 62 destinations, how do you compare that to Air Tanzania. Nimekupa link showning za KQ na leased. Show me penye inasema all KQ planes are leasedhhahaha kenye buying aircraft cash kumekushinda hahahahahahaha sasa ndo siku nyingine ujifunze kua kenya airways hawamiliki hata ndege moja zote ni za kulease my friend
na hizo zote on order zimenunuliwa cash so jumla ndege 7 zimenunuliwa cash hahahah tanzania hatariiiiiYou cant compare the two airlines mate
Yours is inferior by farView attachment 501869 View attachment 501870
Yaani una compare KQ na huu uchafu wetu hapa? Yaani unalinganisha mavi na keki?mxxxxna hizo zote on order zimenunuliwa cash so jumla ndege 7 zimenunuliwa cash hahahah tanzania hatariiiii
hahahahaha unachekesha wewe nioneshe link kua kenya airways imenunua ndege cash ya aina yoyote niletee facts hapanope, ona hio link. Plus KQ has a fleet of 37, 62 destinations, how do you compare that to Air Tanzania. Nimekupa link showning za KQ na leased. Show me penye inasema all KQ planes are leased