Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]bangi kweli mbaya...

Watu wakenya ni watu wakipuuzi sana ni watu unreasonable & pointless
Loosermatic... Mind your business. Jitayarishe kesho upande daladala zenu ukienda kwa muhindi kazi
 
Mnahangaika na ya kijinga badala ya serikali kujengea wanainchi wake makaazi mazuri ya kuishi...... yenyewe mna kazi kweli kweli hapa
 
Mnahangaika na ya kijinga badala ya serikali kujengea wanainchi wake makaazi mazuri ya kuishi...... yenyewe mna kazi kweli kweli hapaView attachment 954870View attachment 954871
Wachovu kila mahali wapo tu,kumbuka city hua lazima iwe na watu wa aina zote, well kuna mabadiliko kwa sasa nadhan mji umepimwa upya lazima watafanya demolition baadhi ya maeneo na kujenga upya...
 
Those are private cars. Nioneshe Dar ukiwa na jam ya private carsView attachment 954744View attachment 954747
Kulingana na ujinga wa kukosa reason za msingi basi nikusaidie kitu kidogo tu Nairobi ina car na watu wengi kuliko nchi yeyote hapa duniani[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

ulisahau HATA HII NI PRIVATE PEOPLE
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Dar ni kubwa sana alaf inabarabara nyingi sana huwez ukakuta foleni ua kipuuzi kama hio kutoka mfano kutoka cbd kuja ilala nina njia zaidi ya 6 kufika ilala so hio foleni itakuwa wapi????? Nairobi ni ndogo sana tena iko congested sehemu moja
ATI nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…