Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kigali, a compact city, so beautiful and clean ❀😍
KyemuhururView attachment 954741a highway, Kigali
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡hujaona au
 
Those are private cars. Nioneshe Dar ukiwa na jam ya private carsView attachment 954744View attachment 954747
Dar ni kubwa sana alaf inabarabara nyingi sana huwez ukakuta foleni ua kipuuzi kama hio kutoka mfano kutoka cbd kuja ilala nina njia zaidi ya 6 kufika ilala so hio foleni itakuwa wapi????? Nairobi ni ndogo sana tena iko congested sehemu moja
 
Mtu anaona pride katika traffic jam. Mungu waokoe watu wako.
 
Dar ni kubwa sana alaf inabarabara nyingi sana huwez ukakuta foleni ua kipuuzi kama hio kutoka mfano kutoka cbd kuja ilala nina njia zaidi ya 6 kufika ilala so hio foleni itakuwa wapi????? Nairobi ni ndogo sana tena iko congested sehemu moja
Unasema barabara nyingi??[emoji23][emoji23][emoji23] gani hizo. Ama unamaanisha ile moja ya brt imetoka slums hadi the three blue buildings
 
dar es salaam "cirry" is doing "berra" ... [emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 954546
However yepi markez ina kazi ya feasibility study for commuter train in dar es salaam, so city will not only depend on the road for mass transit, dar could soon have commuter train despite kwa sasa tuko na train ambayo inapiga route zake mjn but iyo ni ya kisasa na ya umeme...bila kusahau BRT phases zinaendelea as scheduled
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…