Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Daah kuna mpuuzi mmoja wakikenya hapa ,,,anajinadi mubashara kama yupo kwenye kampeni atii wana quality life of living...nimesikitika kisha nikamcheka sana
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]

 
Asante kwa kuja,,,,,,hizo picha zote si kenya hapo ni Tanzania zOne usihofu kwa hilo[emoji2][emoji2][emoji2]
Usichukue picha za nchi nyingine na kuwasingizia midle income yenye high hdi na gdp kubwa.
 
Basi sawa,,endelea kujua hivyo ujuavyo kuhusu Lusematic kutoifahamu G.D.P ya nchi yake na mengine mengi[emoji16][emoji103][emoji122]

Nadhani tumeelewana mwelevu bora kabisa educated woman janerose from kenya [emoji1]
Umesema ukweli. Si kila MTU mjinga ndio maana sisi ambao si wajinga tunawashangaa wajinga wanaojiita werevu .
 
Wengine walisema eti china ni marafiki zao hahaha kumbe hawajui mahusiano kati ya china na tanzania na leo wamesahau kua ni jinsi gani china inavoiheshimu tanzaniaπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Kadoda alikua anakuenjoy na kweli mukaingia kingi kwan we kadoda humjui[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna cha kuplayisha msee hapo, he insisted hadi akaleta sijui vida fulani hapo. I didn't bother to view cause nilijua the lines ni za Kenya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…